Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Daah kweli kabisa na Kabudi.Kweli hili kabila ni kiboko! Umemsahau na kibajaji..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah kweli kabisa na Kabudi.Kweli hili kabila ni kiboko! Umemsahau na kibajaji..
Hao wote hawajawahi kuandikwa vibaya kwa sababu ni Wandali bali kwa makosa yao binafsi, aidha hawajawahi lalamika kwa sababu ni Wandali bali walikuwa wanajitetea wao binafsi.Haumkumbuki Steven Kibona Waziri wa Fedha enzi za Mwinyi? Je Mzee Cheyo?
Siku nyingi sijapita maeneoya Masokono na Sange labda kuna vijna wa ccm huko siku hizi mm siwajui
Ila johnthebaptist atakuwa Wandali wengi wanaokula mema ya nchi
Wewe siyo CHADEMA!Hivi hii ni kweli? Sisi Chadema tuna mambo.
Mtu mjinga akikosa hoja anakimbilia hoja za kikabilaSPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI
"Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha, sio kwa sababu nina pungufu lolote, ni kwa sababu mimi ni Mgogo, dharau hii!" Job Ndugai, Spika wa Bunge
#MkutanoMkuuwaWagogo View attachment 2061332]
Wewe ni mataga parody la Lumumba.Hivi hii ni kweli? Sisi Chadema tuna mambo.
Ndio...wagogo mafala sana mkipata vinafasi, mnakuwa kama mmekunywa maji ya bendera ya nchiSPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI
"Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha, sio kwa sababu nina pungufu lolote, ni kwa sababu mimi ni Mgogo, dharau hii!" Job Ndugai, Spika wa Bunge
#MkutanoMkuuwaWagogo View attachment 2061332]
Wagogo ni watu wema sana na wenye akili ila siyo NDUGAI. Nawafahamu majina makubwa kama akina Ndyanao Balisidya, Job Lusinde, John Malecela, Ndejembi, Padri Supa, Askofu Chilongani just to mention a few.SPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI
"Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha, sio kwa sababu nina pungufu lolote, ni kwa sababu mimi ni Mgogo, dharau hii!" Job Ndugai, Spika wa Bunge
#MkutanoMkuuwaWagogo View attachment 2061332]
Anamaanisha kuwa video zilimrecord vibaya ama.... Inawezekana hawa ndiyo wale Wahuni anaowasema Slowslow.SPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI
"Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha, sio kwa sababu nina pungufu lolote, ni kwa sababu mimi ni Mgogo, dharau hii!" Job Ndugai, Spika wa Bunge
#MkutanoMkuuwaWagogo View attachment 2061332]
Wewe jamaa huwa kila mahala lazima umtaje Magufuli. Acha ubwege we ndinaNdugai alikubali kutumikia siasa chafu za Magufuli, sasa anajaribu kujifichia kwenye kichaka cha kabila lake. Na kwa akili yake ndogo anadhani atatupoteza maboya tusijue madhaifu yake.
Kwani mpira upo kwenu sasa hivi lakini mechi inaendelea, yatajiri mengi mpaka ifikapo 2025 hamtaamini . kama una ufahamu wa mambo ukisikia kauli ya mtu kama spika, (ni wa ngapi kutoka rais) anasema tutaonana 2025, ujue kumenoga tayari, mipango asubuhi, Atapatikana mtu anaendaliwa hivi sasa . kumekucha we unavuta shuka!!!!!!!,Hahaahhaahh,Alikuwq anajifanya huyu enzi za Jiwe .
Wewe jamaa huwa kila mahala lazima umtaje Magufuli. Acha ubwege we ndina
Huna point hata siku moja. Muda wote unapost upuuzi tu.Roho inakuuma sukuma gang?