Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

Mh.Spika
Zigo lako libebe mwenyewe,wagogo hatudharauliwi kabisa na usitake kupata sympathy kutoka kwetu kwa maovu yako.
Time and again tumekuwa tukikuambia dhuluma haidumu na ikidumu huangamiza,sasa ona jinsi Mwenyezimungu anavyofanya mambo yake na tunamuomba akushushe uwe mtu wa kawaida kama sisi....ona kwa:
Paul Makonda
Sabaya
Bashiru
Polepole
na wengi wengine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ahsante sana (kwa Kigogo)
 
Wanaomshambulia Spika hawaitakii nchi mema... Spika kaja hadharani kututonya juu ya minyukano ndani ya ccm.
Ni wakati muafaka wa kukipumzisha chama chakavu!!
 
Zuzu bin zezeta peke yake atasema ile hospitali special ya Mirembe wasitibiwe kabila jingine kwa kuwa watu wa kabila lake tu ndio wana matatizo makubwa ya akili
Na yule Profesa majalala mwenye mijicho kama gong'ole naye ni mgogo pia ingawa aliwalaghai Kilosa akapewa ubunge na Magufuli kupitia jimbo la Kilosa.
 
View attachment 2061585

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Swahili Times , Hii ni baada ya Kauli yake ya nchi kupigwa mnada kutokana na mikopo , ambako wadau kadhaa wamejitokeza , si tu kumpinga bali pia kumshangaa kutokana na ukweli kwamba Yeye Ndugai ni miongoni mwa viongozi wa Tanzania ambao wameifikisha nchi hii hapa ilipo.

Baada ya kuzidiwa na mawe kila pembe Job Ndugai anatengeneza kichaka cha ukabila , Eti anaandikwa vibaya kwa vile yeye ni Mgogo .

Hivi huyu jamaa alitaka tuandikeje jambo hili ?
Mmesahau kuwa yeye ni makamu Mwenyekiti wa Sukum gang?
 
View attachment 2061585

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Swahili Times , Hii ni baada ya Kauli yake ya nchi kupigwa mnada kutokana na mikopo , ambako wadau kadhaa wamejitokeza , si tu kumpinga bali pia kumshangaa kutokana na ukweli kwamba Yeye Ndugai ni miongoni mwa viongozi wa Tanzania ambao wameifikisha nchi hii hapa ilipo.

Baada ya kuzidiwa na mawe kila pembe Job Ndugai anatengeneza kichaka cha ukabila , Eti anaandikwa vibaya kwa vile yeye ni Mgogo .

Hivi huyu jamaa alitaka tuandikeje jambo hili ?
Huyo ndo Ndugai Mgogo
 
Je anadhani angekuwa kabila gani asingeandikwa?
 
Back
Top Bottom