Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

Malechela,Le Mutuzi,Ben Pal,Job Ndugai,Mavunde,Juma Nkamia,Matonya hawa ni baadhi tu ya Wagogo ambao ni Icons....ukijua tabia zao utaelewa kwa nini tunasema WAKOMA wana akili za hovyo.
Juma Nkamia ni Mgogo au Mrangi yule?
 
Malechela,Le Mutuzi,Ben Pal,Job Ndugai,Mavunde,Juma Nkamia,Matonya hawa ni baadhi tu ya Wagogo ambao ni Icons....ukijua tabia zao utaelewa kwa nini tunasema WAKOMA wana akili za hovyo.
Nkamia siyo mgogo bali Mrangi OG.
 
Leo ndio najuwa kabila lako! Issue ya Covid-19 najuwa uliagizwa na Magu, ujinga huo ndio unaokudharaulisha, matendo na maneno yako yanakushusha!
 
Wagogo wangekuwa wanadharaulika, basi makao makuu ya nchi yasingelikuwa ni Dodoma...

Aache kujishtukia
 
Nimeanza kumdharau Ndugai tokea Lissu alipotaka kuuawa lkn kipindi chote hicho sikujua kabila lake. Nilikua najua Ni mtanzania aliyekosa maadili, utu na muelekeo.
Aliwezaje kumnyima hela ya matibabu na mshahara Lissu, inamaana jobo alifurahishwa na kitendo Cha Lissu kutaka kuuawa. aliwezaje kuwaapisha mzee Halima and co.?
Kumbe jobo Ni mgogo...😂
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kukemea tena kwa msisitizo mkubwa sana juu ya hili jambo la ukabila. Na hata alitoa sabab za mtu kutunga nyimbo za ukabila;

**Pale mtu anapojiona hana hoja ya kuishawishi jamii ili imuunge mkono,basi silaha pekee ni kutafuta sympathy kwene kabila lake kwa kujarib kuingiza maneno yenye uchonganishi.

Huenda mkuu speaker alikuwa nayo maana yenye mashiko aliyotaman jamii ya gogo's ipokee,but alijisahau akaruhusu panic hivyo kujikuta akicheza nje ya key ya hoja zake.
Bahat mbaya huko nje ya key akawa kanunua kesi ya uchonganishi kat yetu watz wote (nami nikiwemo) japo siyo mwanasiasa.

Lkn huyu ni boss wa muhimili mmojawapo wa cherikali🤭🤭

My take
Viongozi msituchanganye wananchi. Tumekubali kutulia na tabu zetu tu na siyo km tumeridhika na mambo yanavyoenda, la hasha!
 
%22Kuna_baadhi_wananiandika_vibaya_kila_kukicha%2C_sio_kwa_sababu_nina_pungufu_lolote%2C_kwa_s...jpg

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Swahili Times , Hii ni baada ya Kauli yake ya nchi kupigwa mnada kutokana na mikopo , ambako wadau kadhaa wamejitokeza , si tu kumpinga bali pia kumshangaa kutokana na ukweli kwamba Yeye Ndugai ni miongoni mwa viongozi wa Tanzania ambao wameifikisha nchi hii hapa ilipo.

Baada ya kuzidiwa na mawe kila pembe Job Ndugai anatengeneza kichaka cha ukabila , Eti anaandikwa vibaya kwa vile yeye ni Mgogo .

Hivi huyu jamaa alitaka tuandikeje jambo hili ?
 
View attachment 2061585

its shameful........ mtu kama huyu anashindwa kuona substance kwenye reactions za watu kuhusu arguements zake anahusisha reactions za public na ukabila "UGOGO"
 
Back
Top Bottom