Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.

Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.

Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.

 
Hawa wabunge 19 wanaonekana wana umuhimu sana kuliko waliochaguliwa kwa kishindo
Kwamba haki yao ikiminywa wasisemewe kisa ni wa upinzani?
 
Reactions: Lee
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Anaowatetea kimenuka kambini kwai!

 
Maamuzi ya cdm ni maamuzi sahihi na yamekimarisha zaidi chama na kuzidi kujenga imani kwa watz. Nini njaa ya miaka 5 ukalinda heshima ya milele. Watu wameuliwa wameumizwa wamekupora haki yako kibabe Hadi dunia nzima inajua iweje ushirikiane nao.
 
Ndungai amekuwa mtetezi wa haki zao kina mama. Mbona maamuzi yenu ya ndani CCM Chadema hawayaingilii. Ni kikao gani cha chama kilimkuta Benard Membe ana hatia?
Huwa hufuatilii vizuri vikao vya CCM...Membe alianza kuhukumiwa pamoja na kina EL kipindi hiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…