Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Ameishajibiwa katika uchaguzi uliopita Chadema iliweka wanawake 62,wanawake waliopewa nafasi kwenye vyama vyote ukiwajumlisha hawafikii hii idadi,sasa wapi Kuna mfumo dume,Ndugai ni mtu aliyeoza ubongo,
 
Jinsia ya mtu sio justification ya kukiuka kanuni na taratibu za chama.

Hao wabunge wa gereji tumewatimua kama ambavyo tunawatimua wapuuzi wengine wa kanuni za chama.

In short CCM wameumizwa sana kwa waasi hawa kutimuliwa kwenye chama.
 
Hawa viti maalum 19 tu wa chadema Leo wamekuwa lulu kwa ccm kuliko wabunge wa kike 112,lakini hawa hawa viti maalum wa chadema walipogombea waliwapora ushindi wao uliokuwa wazi kwa nguvu ya mapolisi,tume,na usalama wa taifa na wakurugenzi wa halmashauri,Those who make peaceful changes unavailable,makes violent changes inevitable,it is a matter of time
 
Ameishajibiwa katika uchaguzi uliopita Chadema iliweka wanawake 62,wanawake waliopewa nafasi kwenye vyama vyote ukiwajumlisha hawafikii hii idadi,sasa wapi Kuna mfumo dume,Ndugai ni mtu aliyeoza ubongo,
Waliwekwa kwa utaratibu gani?
 
Back
Top Bottom