Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Mgogo na boss wake alisema Hakuna mpinzani atakaerudi bungeni wanakwamisha maendeleo wakizidi Sana awafiki 3 ndoto yao imetimia leo why wanatumia nguvu kubwa Sana kuikana ndoto yao.
Yaani Hawa jamaa nahisi vichwani mwao wamejaza uji sio ubongo.
 
Kabla hata hatujawatimua hawa waasi 19 tulijua watakumbatiwa na Ndugai na wala hata halitusumbui hilo cha msingi tumeua mende ndani ya chama nyie Lumumba wachukueni muwafuge.
Hawahami chama ila watakuwa wabunge wa mahakama
 
Mzee wa lupaso angekuwepo angewafundisha jinsi ya kuiba kura kiprofessional kuiba bila kuacha alama ya wizi cdm wangeibiwa wakaachiwa hata wabunge 60 tu hivi wasingepiga kelele.

This time wamebugi Hadi ushindi wa kishindo umegeuka shubiri wanahaha kulazimisha viti maalumu.
 
Hawahami chama ila watakuwa wabunge wa mahakama
Wabunge hawa wa gereji watakua ni vijibwa vya CCM in short tayari wameshakua wana CCM as long as wanashiriki haramu za CCM.

Sisi kazi yetu ni kufukuza tu, wabaki bungeni au gereji hilo halituhusu ila tumeshatimua hao waasi.
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Subwoofer akili zake zinamtosha mwenyewe. Bunge lililopita lilikuwa dhaifu. Hili la sasa litakuwa kituko. Tatizo ni dereva.
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Anasem hivyo baada ya kuona mipango yake inakwama. Atumie tu ubabe kuwa na wabunge wasiokuwa na chama. Anasubiri barua rasmi ipi kutoka Chadema? Kwani Chadema iliwatuma kwake kwa barua kuwaapisha hao wasaliti? Si alisema ameletewa majina na tume? Awaombe tume hiyo barua rasmi na siyo Chadema. "It is over. Chadema has already played its role".
 
Tuliacha unafki na uongo usio na maana, hivi CHADEMA ina mfumo Dume tangu lini? Yaani baada ya kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu dhidi ya hao kinamama leo ndio mtambue huo mfumo dume?

Kwa taarifa tu ni kwamba CHADEMA ndiyo Chama pekee nchini kilichokuwa kina wagombea ubunge wa majimbo wanawake zaidi ya 64 likifuatiwa na ACT Wazalendo majimbo 36 na CCM Majimbo 21. Unapozungumzia mfumo dume ndani ya CHADEMA una maana gani?
CCM kama chama tawala kwenye kamati kuu ya chama kama chombo cha juu cha maamuzi kuna wanawake wangapi?

Mambo mengine kuongezewa sana unafki usiokua na wazi ni bora kuisema ukweli dhahiri.
 
Spika anasema anasubiri barua ya kufukuzwa uanachama wa Chadema. Naomba nielemishwe kidogo, kwani hayo majina ya hawa wanawake yalipelekwa NEC na Bungeni kwa utaratibu wa kikatiba na sheria hadi Chadema ipeleke barua ya kuwafukuza uanachama?
 
Maamuzi ya cdm ni maamuzi sahihi na yamekimarisha zaidi chama na kuzidi kujenga imani kwa watz. Nini njaa ya miaka 5 ukalinda heshima ya milele. Watu wameuliwa wameumizwa wamekupora haki yako kibabe Hadi dunia nzima inajua iweje ushirikiane nao.
Subwoofer haelewi. Haishangazi kwani subwoofer kazi yake ni kupayuka mwangwi kutoka kwenye mixer. Ukikata waya basi linakuwa kimya.
 
Back
Top Bottom