Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Tatizo kukurupuka,kuropoka na kutofanya utafiti! Hizo takwimu zataka muda kuzipata,kuziandaa na uelewa.Vyote hivyo Lumumba hawajajaaliwa. Ni kubwabwaja tuuuuu hadi inakera!
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Na chadema wakipeleka barua kwa spika means wanamtambua na wanamtambua serikali
 
Ndugai alishasema ana faili Mirembe. Kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.
 
Anapowatoa nje wabunge wanawake wa upinzani huwa anatumia mfuko jike?
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Fala huyo, Covid 19 wameshafukuzwa yeye aendelee nao tu analialia nini?
 
Wanajanvi hebu tuunganishe hii tutawalinda ya Ndugae kwa Mdee na wenzake, hata kabla ya msimamo wa chama, hata kabla Mnyika hahapeleka orodha kwa tume, hata kabla hapajawa wazi kwamba kuna SHIDA mahali!!!!!!
 
Ndungai, tambua kwamba wabunge wa kuchaguliwa majimboni wa CHADEMA kwa asilimia 100% ni wanawake yaani ni mbuge wa Nkasi tu mwanamke. Sasa CCM mnaojifanya mnawajli wanawake mna wabunge wangapi wa kuchaguliwa na wangapi kati ya hao ni wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…