Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Tuliacha unafki na uongo usio na maana, hivi CHADEMA ina mfumo Dume tangu lini? Yaani baada ya kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu dhidi ya hao kinamama leo ndio mtambue huo mfumo dume?

Kwa taarifa tu ni kwamba CHADEMA ndiyo Chama pekee nchini kilichokuwa kina wagombea ubunge wa majimbo wanawake zaidi ya 64 likifuatiwa na ACT Wazalendo majimbo 36 na CCM Majimbo 21. Unapozungumzia mfumo dume ndani ya CHADEMA una maana gani?
CCM kama chama tawala kwenye kamati kuu ya chama kama chombo cha juu cha maamuzi kuna wanawake wangapi?

Mambo mengine kuongezewa sana unafki usiokua na wazi ni bora kuisema ukweli dhahiri.
Tatizo kukurupuka,kuropoka na kutofanya utafiti! Hizo takwimu zataka muda kuzipata,kuziandaa na uelewa.Vyote hivyo Lumumba hawajajaaliwa. Ni kubwabwaja tuuuuu hadi inakera!
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Na chadema wakipeleka barua kwa spika means wanamtambua na wanamtambua serikali
 
Ndugai alishasema ana faili Mirembe. Kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo.
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Fala huyo, Covid 19 wameshafukuzwa yeye aendelee nao tu analialia nini?
 
Wanajanvi hebu tuunganishe hii tutawalinda ya Ndugae kwa Mdee na wenzake, hata kabla ya msimamo wa chama, hata kabla Mnyika hahapeleka orodha kwa tume, hata kabla hapajawa wazi kwamba kuna SHIDA mahali!!!!!!
 
Ndungai, tambua kwamba wabunge wa kuchaguliwa majimboni wa CHADEMA kwa asilimia 100% ni wanawake yaani ni mbuge wa Nkasi tu mwanamke. Sasa CCM mnaojifanya mnawajli wanawake mna wabunge wangapi wa kuchaguliwa na wangapi kati ya hao ni wanawake?
 
Back
Top Bottom