Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu.

Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote.

Source: Channel ten
 
Ndugui ameongea jambo la msingi sana maana kuna watendaji wa serikali ikiwemo majaji hujiona miungu watu.

Wanasahau na wao ipo siku watahukumiwa kama sio hapa hapa dunian basi mbinguni siku ya kiama.
 
Yeye mwenyewe anajiona Mungu Nani?
 
Spika wa bunge mh Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu.

Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote.

Source: Channel ten
pale pepo linapokuwa wise baada ya shetan kuliacha kiti chake.
kweli nyan haoni kundule
 
Ndugui ameongea jambo la msingi sana maana kuna watendaji wa serikali ikiwemo majaji hujiona miungu watu.

Wanasahau na wao ipo siku watahukumiwa kama sio hapa hapa dunian basi mbinguni siku ya kiama.
Mbona nae amejigeuza mungu mtu kule bungeni kwa kuwalinda wale wahujumu uchumi 19 kinyume na sheria?
 
Hatujasahau mwaka 2015 alipompiga Dk Joseph Chilongani.

Apeleke unafiki huko ! Despots must go sooner or rather than later.

mtia nia.jpg
 
Back
Top Bottom