WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Nyani haoni kundule Ndugai anawashauri majaji wakati yeye hashauriki.Spika wa bunge mh Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu.
Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote.
Source: Channel ten