Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu.

Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote.

Source: Channel ten
Mbona Wewe Ndugai umeapa kwa kumtaja MUNGU kuilinda Katiba lakini UNAICHAFUA?
 
Shetani anapotaka kufanya kazi ya kuwatafuta wafuasi waMwenyezi Mungu.

Ndugai ni kati ya madoa machafu katika taarifa letu. Hakuna kumbukumbu atakayoiacha zaidi ya kuwa spika wa hivyo, aliyefuta mamlaka ya kikatiba ya Bunge.
 
Huyu ni shetani mwenye miguu miwili
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu.

Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote.

Source: Channel ten
Huyo mgonjwa wa marukanga yeye ametanguliza tumbo lake badala ya mungu
 
Back
Top Bottom