johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
shetani anatoa mawaidha
Yeye mwenyewe anajiona Mungu Nani?Ndugui ameongea jambo la msingi sana maana kuna watendaji wa serikali ikiwemo majaji hujiona miungu watu.
Wanasahau na wao ipo siku watahukumiwa kama sio hapa hapa dunian basi mbinguni siku ya kiama.
pale pepo linapokuwa wise baada ya shetan kuliacha kiti chake.Spika wa bunge mh Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu.
Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote.
Source: Channel ten
Mbona nae amejigeuza mungu mtu kule bungeni kwa kuwalinda wale wahujumu uchumi 19 kinyume na sheria?Ndugui ameongea jambo la msingi sana maana kuna watendaji wa serikali ikiwemo majaji hujiona miungu watu.
Wanasahau na wao ipo siku watahukumiwa kama sio hapa hapa dunian basi mbinguni siku ya kiama.
Hahahaaaa.......!Nimemsikiliza huyu lafa nikasema kweli nyani haoni lenduku
NDIO anaaga hivyo