Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

Nyani haoni kundule Ndugai anawashauri majaji wakati yeye hashauriki.
 
Ndugui ameongea jambo la msingi sana maana kuna watendaji wa serikali ikiwemo majaji hujiona miungu watu.

Wanasahau na wao ipo siku watahukumiwa kama sio hapa hapa dunian basi mbinguni siku ya kiama.
Je Ndugai yeye anajiona kama nani?
 
Ni jambo la kuchekesha leo dikteta ndugai kuwaasa majaji watende haki wakati yeye mwenyewe ni katika mfano mkubwa wa viongozi ambao hawatendi haki Raisi samia wacha kuwapa nafasi za kuongea watu wanafiki karma has.
 
Hii tabia ya kusema kamtangulize mungu ni ya kipuuzi sana, maana ****** ni shetani mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…