Spika Ndugai hana mamlaka ya kupinga maamuzi halali yaliyofanywa na Kamati kuu ya CHADEMA

Mkuu you have spoken well.sijui ni kwa nini hii awamu ya uongozi huu wameamua kuivunja katiba ya nchi makusudi ambayo ndio muongozo Wa utawala na sheria.

Ingawa katiba yenyewe ni mbovu,basi walitakiwa kuifuta hivyohivyo.
 
 
Nchi hii kuna ukuaji mkubwa wa mmomonyoko wa maadili, uvunjaji wa sheria na kanuni za nchi imekuwa ni ada kwa mwamvuli wa uzalendo.


Kuna double standards za kishenzi sana ever, Dungai is a worst, Idiot speaker ever to happen in this world,He is mercanary looking only to feed his stomarch.
 
Inatakiwa wananchi wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa tuwapinge kwa nguvu zote, hawa viongozi wote walioamua kwa makusudi kabisa kuisigina sigina Katiba yetu.

Namshukuru Mzee Msekwa ameongea wazi kuwa kutokana na kikao cha Kamati Kuu ya chama cha Chadema, kuwavua uanachama wao hao wabunge 19 wa viti maalum, automatically ubunge wao unakoma Mara moja, kwa kuwa hilo ni sharti la Kikatiba. OVA
 
Ni kweli aisee. Mungu awapende zaidi mapema!
 
Dua la kuku. Nani wa kuiondoa CCM madarakani kama wapinzani ndio hawa ? Mtasubiri sana labda mwaka 2050.
 
Hata nguli wa shguhuli za Bunge, Spika mstaafu Pius Msekwa, amekuwa muwazi sana katika suala hili, amesema kuwa ubunge wa kina Halima Mdee umekoma pale Kamati Kuu ya Chadema ilipotangaza kuwa imewavua uanachama
Ukome usikome yote sawa tu. Ni kikao kipi cha kamati kuu ya CHADEMA kilichompitisha Lowasa kuwa mgombea uraisi 2015 ? Leo hii ndio mnaona kina Mdee wamekosea ? Si mwenyekiti wenu alusema amebadili gia angani ?
 
Wewe ndio hujui kitu. Soija anajua sana anachokusimamia. Utaelewa baadaye
 
Kama taifa lingekuwa na watu serious, Ccm isingekuwa madarakani hadi dakika hii.

Wanachofanya maccm ni foreplay wakijiandaa kuwabikiri raia wa taifa hili.
Sasa utaiacha CCM umchague nani nchi hii ? Hivyo vyama vya kuunga mkono ushoga na kuuza nchi ndio tuvichague ? Endelea kijifariji humu lakini kumbukeni hiyo EU haiwezi kuwaweka wapinzani madarakani.
 
Nyue wajanja mko wapi sasa ? Mbona mnazidi kuugulia maumivu tu
Hahaha usihangaike na ccm huko ndio nyumbani kwa wajinga ila wana madaraka na nguvu ya majeshi yote.

Tunajua hawajawahi kufuata sheria na hawafuati sheria yanini kuongelea sheria tena?!
 
Mliambiwa kuandamana mkaingia mitini leo unajifanya jasiriiiii. Ni keleke za chura tu
 
Gwala again
 
Bila upinzani hakuna matilioni wamekumbuka shuka kumekucha.
Waendelee kushangilia ushindi wa kishindo
 
Najiuliza je Chadema wameshapeleka barua rasmi ya kuwavua uanachama wabunge hao. Kama bado basi spika hajavunja katba na ana haki ya kusema hivyo.Ila Kama taharifa rasmi imepelekwa na ikapokelewa na Bunge na kumfikikia Spika hapo atakua amevunja katiba aliyo apa kuitetea na kuilinda.na kitendo hivyo kinatakiwa kilaaniwe kwa nguvu zote
 
Umefanya vizuri kurejea katiba lakini umesahau kwamba hiki ni kizazi cha "utashi binafsi".Yasiyowezekana kwa kubanwa na katiba yanawezekana kwa utashi binafsi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…