Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kuna wakati unajiuliza kwanini mungu alimtoa Mahiga ama Ndulu katika hùu ulimwengu na kumuacha mtu wa hovyo kama huyu Ndugai. Kuna binadamu kama akina Kijazi walitakiwa wawepo sio huyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama watu walishafukuzwa Chadema, na chama chao kikakuandikia barua kuwa walishafukuzwa wewe kwa nini hutaki kuamini kuwa walishafukuzwa? Ok kama huamini kwa nini usiombe uthibitisho kuwa walifukuzwa na vikao halali?
Spika Ndugai yuko imara kuhakikisha HAKI za kila MTU zinalindwa.Akili za huyo Spika ni kielelezo cha viongozi wa CCM na wanachama wake.
Huyu siyo Spika ni takataka kabisaAkili za huyo Spika ni kielelezo cha viongozi wa CCM na wanachama wake.
Ndiyo maana Udom ipo pale kati ya wanafunzi elfu 50 wagogo hawazidi 100 mzee.Jamaa anawaaibisha sana wagogo.
Ahaaa, dogo tumia akili.Hata wewe umeshikiwa akili na mwenyekiti wako vile hujijui tu, usimshangae Ndugai.
Mzee 12M+ per diem waziachie kizembe hivyo? sahauKutokana na shinikizo la kutaka wabunge hawa waondolewe Bungeni, na pia ili kumpa Spika amani na zaidi ili kulinda hadhi ya Bunge isiendelee kuporomoka, wenye mamlaka watawataka wabunge hawa wajiuzu ila watahakikisha wanalindwa hata wakiwa nje ya Bunge.
CCM na Ndugai swala hili limewakalia vibaya na sioni uwezekano wao wao kuendelea kuwalinda hawa wabunge zaid ya kuwataka tu watangaze kujiuzulu ila watakubaliana wabunge hawa waseme nini kwa umma siku ya kutangsza kujiuzulu.
Hii aibu ni ngumu kuibeba tena huku nafasi inskusta hivyo ni swala la muda tu.
Baada ya Bunge hili kwisha,sitarajii kama watarudi katika mkutano ijayo wa Bunge
Tusubiri.
Yameanza kuwashinda na ndio maana Spika kaanza kutapatapa .Mzee 12M+ per diem waziachie kizembe hivyo? sahau
Mkuu acha tu ,ombi KWA viongonzi wangu wa CHADEMA, hakuna kuandika barua nyingine ,acha abaki na wabunge wake wadhulma mungu yupo asema bwanaEti Ndugai anadai barua ya Katibu Mkuu wa CDM haikuwa na viambatanisho ambavyo ni Muhtasari wa kikao na Katiba ya Chama!!!! Je ndio hitaji la kanuni za bunge?