Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Wewe umbwa unasemajeMbowe usirudi tena bungeni uliturostisha sana wana hai. Mbowe hastahili kupewa heshima anayopewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umbwa unasemajeMbowe usirudi tena bungeni uliturostisha sana wana hai. Mbowe hastahili kupewa heshima anayopewa.
Ndiyo maana bunge lake ni la hovyo sana.Spika nae kazidi mipasho kama mwanamama
Mtu katangulia kwa nn yeye anamkashifu? Wacha avune malipo ya udhalimu huo. Karma is realHaya wewe mwenzao tueleze Mbowe kamkosea nn Ndugai? Juzi alizungumza nn kumuhusu au kuwahusi nyie wenzao
Una nafasi ya kukutana na waziri,naibu waziri na hata waziri mkuu kwa nini usiachie nafasi wengine?Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa".
Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).
Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.
Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Sio Kama huyu Ni MwanamamaSpika nae kazidi mipasho kama mwanamama
Labda ni mwanamama mwenye jinsia ya kiume!!Spika nae kazidi mipasho kama mwanamama
Ni li-taga gang la kawaida tu, limefiwa na mume!Hai hakuna matatizo ya r na l huyu arudi kwao akachunge ng'ombe
Hiyo hiyo karma kama ipo real, iendelee na kazi, sasa hivi imchape Andunje, bendera zirudie tena kupepea nusu mlingoti!Mtu katangulia kwa nn yeye anamkashifu? Wacha avune malipo ya udhalimu huo. Karma is real
Yeye ni mbunge wa Kongwa. Kongwa ina unafuu gani kulinganisha na Hai?Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa".
Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).
Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.
Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Sasa huyu Mgogo??? /Hai tuna kila kitu. Jimbo lake watu wana kunywa maji bwawa moja na mifugo. Nani wa maana sasa?KUB alikuwa anauliza maswali au alikuwa anaulizwa maswali?
Ndugai ana chuki binafsi na Mbowe sio bureSpika nae kazidi mipasho kama mwanamama
Mimi nimewaza mbali zaidiNdugai kuna uwezekano mkubwa aliibiwa kimwana na Mbowe.
Kila alhamis nani akiyekua anamuuliza waziri Mkuu maswali ya kwanza?
Ndugai kaanza kutoka povu baada ya Mbowe kudai kwamba ana ushahidi kuonyesha kwamba wabunge wa ccm walikuwa wanapewa rushwa na Serikali akiwemo yeye Ndugai,kama ana ubavu ampereke Mbowe mahakamaniSpika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa".
Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).
Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.
Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Wapinzani wanamnyima raha hata kama hawapo bungeni.Yule mwenziwe naye alianzaga hivi hivi kusemasema vitu visivyoeleweka - mara paap - chali!
Mkuu waweza onyesha tusi liko wapi kwenye comments hizo?CHADEMA wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.