Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

Huyu mgogo bunge limemshinda anaendeleza vijembe.
 
Haya wewe mwenzao tueleze Mbowe kamkosea nn Ndugai? Juzi alizungumza nn kumuhusu au kuwahusi nyie wenzao
Mtu katangulia kwa nn yeye anamkashifu? Wacha avune malipo ya udhalimu huo. Karma is real
 
Lakini si mnajua fika yule jamaa ni mgonjwa, mnajuaje kama leo kichaa kilimpanda akapamisi milembe!?!?!?
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa".

Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).

Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.

Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Una nafasi ya kukutana na waziri,naibu waziri na hata waziri mkuu kwa nini usiachie nafasi wengine?
Ndugai naye kauliza maswali lini tangu ameingia hapo?
"Kisasi ni cha Mungu" na Mungu naanza kulipa kisasi!!
 
Huyu mbilikimo ndungai hivi amesahau kuwa wapiga kura jimboni mwake walimkataa na kumzomea mbele ya Marehemu? Bila ujambazi wa dola asingerudi Bungeni.
 
Mtu katangulia kwa nn yeye anamkashifu? Wacha avune malipo ya udhalimu huo. Karma is real
Hiyo hiyo karma kama ipo real, iendelee na kazi, sasa hivi imchape Andunje, bendera zirudie tena kupepea nusu mlingoti!
 
Jamani utafikiri Mbowe ni mke mwenza .Jamani inaelekea Ali miss sana
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa".

Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).

Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.

Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Yeye ni mbunge wa Kongwa. Kongwa ina unafuu gani kulinganisha na Hai?
 
huyu ndugai na wa kumchunguza sana kuhusu JPM death.........time will tell
 
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa".

Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Saasisha Mafuwe kuhoji ni lini Serikali itatekeleza ahadi ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wananchi na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KIA).

Mbunge huyo amesema mgogoro umekuwepo muda mrefu, na jambo hilo limesababisha wananchi kukosa maeneo ya malisho na kuishi kwa wasiwasi kwenye maeneo yao.

Pia soma > Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Ndugai kaanza kutoka povu baada ya Mbowe kudai kwamba ana ushahidi kuonyesha kwamba wabunge wa ccm walikuwa wanapewa rushwa na Serikali akiwemo yeye Ndugai,kama ana ubavu ampereke Mbowe mahakamani
 
CHADEMA wanapenda kujadili wenzao lakini wao kujadiliwa huwa wanakata moto haraka sana wanahamia kwenye matusi na ugomvi.
Mkuu waweza onyesha tusi liko wapi kwenye comments hizo?
 
Back
Top Bottom