johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naye aache unafiki. Yeye na MWENDAZAKE, walifanya kila hila, wasiwepo Bungeni watu waliokuwa wanaihoji serikali pindi ipindishapo mambo.Kwahio hawa watu mpaka wamefika huko hawajui kazi zao mpaka wakumbushwe ?
Kweli huu ni Usanii....
Kwani hao 19 ni wabunge wa serikali?!Swali ikihojiwa kuhusu hao wabunge COVID 19 wanaokula hela bure anaiweka kapuni ,mengine anajifanya mfuatiliaji kama nesi wa zamu
Bunge halina mvuto, wabunge wanatoa hoja rojorojo , hazina zege la kutosha!Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Source: ITV habari
Nusu na robo... Hatimii kilo kamiliSpeaker Hatoshi
Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Source: ITV habari
Hao ni wabunge wa NDIOOO kila kitu, kama mlivyohitaji. Hata Covid 19 waliingizwa humo kwa kukubali masharti hayohayo.Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Source: ITV habari
Kila zama na kitabu chake!Ndugai ni wa kupuuzwa tuu. Sijawahi kuona mgogo mjinga hivi. Haya anayoyaongea alipaswa kuyasimamia tangu utawala wa magufuli. Sasa magufuli amekufa ndio anajuwa kazi ya bunge ni kusimamia serikali?
Hatufai.abaki kwenye zama za kitabu cha jiwe .Kila zama na kitabu chake!
Mgogo Wa AjabuNdugai ni wa kupuuzwa tuu. Sijawahi kuona mgogo mjinga hivi. Haya anayoyaongea alipaswa kuyasimamia tangu utawala wa magufuli. Sasa magufuli amekufa ndio anajuwa kazi ya bunge ni kusimamia serikali?