Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ataacha mke wake akiwa ni DEDHuyu mzee ataondoka na hajaacha alama yoyote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataacha mke wake akiwa ni DEDHuyu mzee ataondoka na hajaacha alama yoyote...
Na ndio ukweli haswa.Hayo ni mawazo yako bwashee!
Ukiwa na mahakama inayoliogopa bunge ndio umekwisha kabisa!!!!!Ukiona Mkeo na nyumba ndogo yako wamekuwa mashosti basi kaa chonjo unaumizwa !! na kwenye ngazi ya Taifa ukiona Bunge na Serikali ni kitu kimoja basi mwananchi kaa chonjo unaumizwa!!
Mliwanyanyasa mliowaita wapinzani,mkaona ni bora kupelekana mjengoni nyie wenyewe,sasa mnalialia nini.Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Chanzo: ITV habari