Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

Nadhan anakubaliana na Prof. Asadi kuwa Bunge ni DHAIFU ...
 
Hiyo ni shida ya kujaribu Kina Cha maji matokeo yake ni kuzama kilichopo leo ni matokeo ya kazi ya Jana usishangae
 
Ndugai na Mwendazake mpango wao ulikuwa wawe na bunge dhaifu nabutu ambalo lisingekuwa na Uwezo wa kuisimamia serikali ili mambo yao likiwemo la kumuongezea muda Jiwe yangekuwa rahisi kuyapitisha!
Mpango wao haukutimia na ndiyo maana nchi imeambulia bunge butu ; Ndugai analolihimiza kuisimamia serikali kazi inayowashinda!!
 
Kwahio hawa watu mpaka wamefika huko hawajui kazi zao mpaka wakumbushwe ?

Kweli huu ni Usanii....
Wabunge zaidi ya 370 wote hawaikosoi serikali?

Muanze kurusha mubashara ili wananchi tuanze kurekodi hoja kwa wabunge wetu.

Ndioooooooooo,hata hawaelewi nakupiga meza kwa wingi.
 
Mbona hawakufanya hiyo kazi miaka mitano iliyopita? Au walikuwa likizo? Nani aliwazuia wasiifanye hiyo kazi?
 
Kikao Cha familia kina ndugu wa upande mmoja, unategemea nini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…