Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

Ukiona Mkeo na nyumba ndogo yako wamekuwa mashosti basi kaa chonjo unaumizwa !! na kwenye ngazi ya Taifa ukiona Bunge na Serikali ni kitu kimoja basi mwananchi kaa chonjo unaumizwa!!
Ukiwa na mahakama inayoliogopa bunge ndio umekwisha kabisa!!!!!
 
Mliwanyanyasa mliowaita wapinzani,mkaona ni bora kupelekana mjengoni nyie wenyewe,sasa mnalialia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…