nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Good move lakini,hata Aje ageuke baadaye...Wadau walikuwa wanaogopa pyu pyu pyu kama zilizoelekezwa kwa Lissu, Mama katuhakikishia kuwa sasa tuko huru kumkosoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good move lakini,hata Aje ageuke baadaye...Wadau walikuwa wanaogopa pyu pyu pyu kama zilizoelekezwa kwa Lissu, Mama katuhakikishia kuwa sasa tuko huru kumkosoa.
Jamani Kaongea kwa hisia fulani hivi....ngoja tungojee yajayo..Hali ni mbaya sekta ya mifugo
Nimemsikia Spika ndugai kiukweli ana POINT
Wamejengewa uwezo????Hawasaidiki wote Mkuu..Serikali iwakopeshe mitaji vijana waliomaliza vyuo vya mifugo waendeshe hiyo ranchi kupunguza tatizo la unemployment
Usafi wa Mzee Paul Kimiti...Tafadhari...Mwenyekiti wa bodi wa ranchi za Taifa ni Mzee Paul Kimiti!!!! Lowassa alipokuwa waziri wa mifugo alijichukulia yake mapema!!!
Ndugai ni Mbunge anaeiwakilisha constituency ya Kongwa ambako kulikuwa na ranch kubwa sana ya serikali; sasa kama hizi ranch zimekufa ikiwemo na hii ya Kongwa ,na yeye muda wote huu akiwa mbunge alikuwa wapi kushtukia ufisadi uliosababisha hizi ranch kufa na leo kuja na hoja eti zibinafsishwe? Huyu mgogo achunguzwe lazima amehusika kuhujumu ranch ili ajikatie na yeye!!
Rahisi mno..Mkuu. Kua....Ni vyema kumsikiliza Ndugai mara ya pili .Binafsi naona ana point lkn hili la kujiuliza eti sheria ilipitaje pitaje hapa KUNA KASORO yaan mnajiuliza ilipitaje pitaje
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Gekul sio NW tena, ktk wizara tajwa NW ni mwingine..mimi nimemsikia Naibu Waziri Mh.Gekul akisema vituo vya utafiti wa mifugo vijiendeshe kibiashara. nikajiuliza kwanini ushauri huo asiupeleke kwenye kampuni ya ranchi ili vituo vya utafiti vibaki kufanya kazi ya utafiti?
Badala ya bunge huyu mgogo mpuuzi sanaKwa sasa Spika Ndugai anaisimamia serikali ipasavyo!
Same predictable lunacyNaona kichwa cha spika kime restore settings.kiliathiriwa sana na chato virus
Anashangaa nini wakati anajua serikali yake in ya kijamaa? Amwambie waziri wa Sheria na Katiba alete mswaada bungeni ili watoe hicho kupengele watu binafsi waendeshe hizo Ranchi Serikali ibaki na Ranchi zake za Utafiti na ichuke kodi kwenye ranchi za watt binafsiSpika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Huyu spika simwelewi kabisa! Sijui ana mpango wa kuinunua hiyo ranchi ya Taifa!! Hana kauli za kuboresha isipokuwa za kukatisha tamaa!!Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Ndugai ni maoni yanguSpika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Ni vyema kumsikiliza Ndugai mara ya pili .Binafsi naona ana point lkn hili la kujiuliza eti sheria ilipitaje pitaje hapa KUNA KASORO yaan mnajiuliza ilipitaje pitaje
Pamoja na maelezo yako mazuri, lkn pia Spika aliongezea hata modal ya ubinafsishaji haujakaa vizuriSuala sio kuwa na point. Alitakiwa aeleze mgongano wa kimaslahi alionao kwenye ranchi kwani inasemekana nae ni miongoni mwa wapangaji kwenye ranchi ya Kongwa.
Pili wazo la kubinafsishwa sio jipya. Ranchi ilikuwa na eneo zaidi ya Hekta laki tano na sehemu kubwa kwa sasa ilishabinafsishwa na/au kupangishwa kwa wadau (sekta binafsi). Alipaswa kutueleza maendeleo ya hao "sekta binafsi" anaopigia chapuo kuwa wanaweza. Ni kweli wameweza? Hii inajumuisha Usangu, Misenyi, Kigoma, Handeni, n.k.
Aidha eneo lililopo la ranchi na mashamba mengine kwa sasa ni ndogo ikilinganishwa na miaka iliyopita. Maeneo hayo yalikwisha milikishwa sekta binafsi na mengine kwenye halmashauri na kugeuzwa kuwa viwanja vya makazi kama kule Iwambi Mbeya.
Nadhani mwangwi anaoupigia chapuo Mh. Spika una maslahi binafsi zaidi na kutaka kupoka taasisi hizi hata kile kidogo kilichopo. Waseme walichokigawa na kujiuzia hapo awali kina maendeleo gani hadi sasa. Kufikiri kwamba utaondoa matatizo ya wafugaji kwa kuwagawia sehemu ndogo za ranchi zilizobaki kama vile ilivyofanyika Ranchi ya Kongwa ambayo na yeye ni sehemu ya mnufaika si sahihi sana.
NARCO na mashamba mengine yaliyobaki yanaweza kuendelezwa kwa maslahi mapana ya nchi ikiwemo kuendeleza vizazi na kuwa sehemu ya mafunzo ya vitendo na kuwa lango la mfano kwa uzalishaji bora kibiashara.
Iliuliwa ATCL imerudishwa, Iliuliwa TAFICO nayo hiyo imerudishwa .......
Tusiongozwe na tamaa bali uzalendo wa kweli.
Kumbe watu wanakula mishahara ya bure tu huko maofisiniWaqt mh lowassa alipokuwa waziri mkuu alitembelea kusini huko akakuta ranchi ina wafanyakazi kama mia hivi na wana ng"ombe mmoja mh lowassa akamchukua mkurugenzi ndani ya gari yake sijui kiliendelea nini kwa mkurugenzi ila ranchi ilifungwa