Spika Ndugai: Kutoka 'kuua' upinzani Bungeni hadi kuwa 'mpinzani' Bungeni

Hivi Job dungai yuko wapi?? mbona umepotea kusikojulikana..
 
Kwani yuko wapi siku hizi?

Asije akarudi akiwa kwenye buti la ndege ya FLY EMIRATES kama mzigo ndani ya sanduku la mbao za Cyprus!
 
Spika imeshakula kwake. Muosha huoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…