Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

Mimi siku nikiwa labda na kampuni yangu, sitakuja kuajiri hawa wenye performance kubwa kivilee. I will prefers those who are average. And average from below. 1st clas wanacreativity ndogo maana wao maisha yao tunayaita ni triangle: Kula, kulala na kusoma.
 
Elimu ya darasani kukariri ni tofauti na maarifa.Mbuge wa Kahama Mh. Kishimba namkubali sana kwa hoja zake japo huenda hakumaliza hata elimu ya Msingi., anawazidi maprofesa na Madoctor wengi.
Kweli kabisa!
 
Kwanini tusitafte viongoz wenye 1st clas maana ndyo wanafanya negotiation kma wao ndyo wwko vzuri. Kwanini wajinga nfyo wawe viongoz na waelevu wawe watumishi?
 
Kuwa na marks kubwa haimaanishi unauwezo,wengine ni uwezo mzuri wa kukariri.kuna rafiki yangu alikuwa anafaulu vizuri sana kwasababu ya kukariri vizuri ila vitu kama presentation au debate alikuwa hawezi,baada ya kumaliza chuo,akiitwa kwenye interview anapanic kabisa, anajiandaa akifika huko akiulizwa jambo jipya hana ujanja,alisota sana japo alikuwa na GPA nzuri, sasa mtu kama huyo ukimpeleka huko kwa kuangalia vyeti mtaibiwa zaidi
 
Hahhaahhaha Africa shida sana, first class degree eti inakwenda kufanya negotiation na mchina ambaye hata diploma hana..

Good knowledge, skills, exposure in business ndio silaha kwa wenzetu na ndio negotiation skills inakuwa kubwa kupitia humo,, you can't negotiation if you know nothing about the business...
 
Sasa watashiriki kwenye negotiation bila kupata ajira?? Kwa hiyo kupata first class ndiyo ushiriki kwenye negotiation za kimataifa!!!
I concur with Kenyans sisi watanzania ni mang'ombe tu!
 
Hahhaahhaha Africa shida sana, first class degree eti inakwenda kufanya negotiation na mchina ambaye hata diploma hana..

Good knowledge, skills, exposure in business ndio silaha kwa wenzetu na ndio negotiation skills inakuwa kubwa kupitia humo,, you can't negotiation if you know nothing about the business...
Watu wenye utamaduni na wahusika hata hawahusishwi. Huko uchina viongozi huja enzi zile kuja kufanya hizo "negotiations" yaani badala angalau wachukue watanzania

....hata kama ni wanafunzi wakujitolea katika atleast consultations ndogo ndogo wenye uelewa wa lugha na tamaduni (hata kama wawe wasikilzaji tu ama washauri manake sio wakuingia kwenye negotiation table) ila mbongo anakuja anamchukua mchina anaejua kiingereza ili awe translator wake katika negotiation table (upuuzi ule ulaaniwe kabisa kama bado upo) ili miradi tu agawane nae per diem.

Mpuuzi mbongo anaeiwakilisha JMT hajui kuwa hapo analizwa double....make mchei ni patriotic to the infinity zone na nchi yake.

Ndio maana kwenda kutoa ama kuelewana mahari wanatufataga wataalam wa kupepeta ambao wanaujua utamaduni wa pahala husika
 
Hahhaahhaha Africa shida sana, first class degree eti inakwenda kufanya negotiation na mchina ambaye hata diploma hana..

Good knowledge, skills, exposure in business ndio silaha kwa wenzetu na ndio negotiation skills inakuwa kubwa kupitia humo,, you can't negotiation if you know nothing about the business...

Walishawatumia hao 1st class kul kwny makinikia(accacia) wakina Prof Kabudi,Prof.Ossoro tukaambiwa tutalipwa $bil190 mpk wazungu wakawa wanaona aibu kuitamka hio figure maana ni next to impossible.

Nadhani hawakujifunza vzr matunda ya zile 1st class walizozitumia kwny hayo mambo ya makinikia.
 
Issue sio 1st class degree au A+ O'lfeel na high level, dunia ilishaacha kukalili.. Hizi A+ na 1st class za kukariri haziwezi kuwa majibu ya matatizo yetu...

Kama kweli hizi A+ na 1st class ni muhimu kwanini tusubiri kunegotiate na mchina au mzungu na sio kuutilize kila tulichonacho wenyewe na kukipeleka sokoni? Kwani tusubiri kuendesha magari ya mjepu wakati formula ni zilezile, kwanini tuagize madege ughaibuni wakati newton ni yuleyule, kwanini watujengee mahighways, flyover, madaraja wakati formula ni zilezile??
 
Wenye ziro wanamponda tu ndugai
Shame on you.
Mnajua kwanini wazungu wana havard etc?
 
Mimi siku nikiwa labda na kampuni yangu, sitakuja kuajiri hawa wenye performance kubwa kivilee. I will prefers those who are average. And average from below. 1st clas wanacreativity ndogo maana wao maisha yao tunayaita ni triangle: Kula, kulala na kusoma.
Utawatoa wapi? Na ziro yako unawaza kuna kuajiri.wewe mwenyewe akuajiri Nani?
 
Safiiii Speaker Ndugai, very good point, kasema kweli tupu, sio ku nominate tu watu sbb ya majina badala ya kuzingatia their academic credentials ndio ziwe kigezo muhimu ktk kuchagua watu kwenda ktk majadiliano ya mikataba ya kimataifa.
 
Ndugai ana point hapa
Bright people ndo wanapaswa wapewe kazi kama hizi

..pamoja na vyeti nadhani waangalie job perfomance ya mhusika.

..kwa mfano, namfahamu Daktari mmoja alipata div 1 O-level halafu akapata div O A-level.

..baada ya hapo akaenda kuchukua cheti cha Med Assistant. Then akaenda Muhimbili akafaulu vizuri na leo hii ana PhD.

..sasa huyu kwa mujibu wa Spika Ndugai hafai kwasababu alipata div O ktk mtihani wa A-level.

..tutafute watu wenye ujuzi kwelikweli na masuala ya mikataba. Particularly watu wanaojua masuala ya kodi, na finance, maeneo ambayo huwa tunapigwa zaidi.

..Tz hatupigwi kwasababu tuna wanasheria wasio na weledi. Tunapigwa kwasababu hatuna wataalamu wazuri wa kodi na finance waliobebea ktk sekta ya madini na gesi.

Cc Chige
 
Sifa hii pia imuhusu Rais wa nchi hii!
 
The power to negotiation haiangalii 'A' za kwenye mavyeti, kipaji kinahusika pia. Unaweza kuwa na mavyeti yako ukafika kwenye majadiliano ukawa kiazi, bora hata mswahilina aliyeishia la saba anaweza hata kubabatiza
 
Back
Top Bottom