Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Kweli kabisa!Elimu ya darasani kukariri ni tofauti na maarifa.Mbuge wa Kahama Mh. Kishimba namkubali sana kwa hoja zake japo huenda hakumaliza hata elimu ya Msingi., anawazidi maprofesa na Madoctor wengi.
Watu wenye utamaduni na wahusika hata hawahusishwi. Huko uchina viongozi huja enzi zile kuja kufanya hizo "negotiations" yaani badala angalau wachukue watanzaniaHahhaahhaha Africa shida sana, first class degree eti inakwenda kufanya negotiation na mchina ambaye hata diploma hana..
Good knowledge, skills, exposure in business ndio silaha kwa wenzetu na ndio negotiation skills inakuwa kubwa kupitia humo,, you can't negotiation if you know nothing about the business...
Hahhaahhaha Africa shida sana, first class degree eti inakwenda kufanya negotiation na mchina ambaye hata diploma hana..
Good knowledge, skills, exposure in business ndio silaha kwa wenzetu na ndio negotiation skills inakuwa kubwa kupitia humo,, you can't negotiation if you know nothing about the business...
Lakini ujumbe wake ni murua!Mwansheria wa Chuo gani? Huyu jamaa anaelekea kama ana shahada ni ya NGUIN!!!
Pro.Lipumba,Dr.Mwigulu,Dr.Bana wote hao wana 1st class,vipi tuwapeleke ku-negotiate?
1st class ni uwezo wa ku-bundi na kukariri uliyofundishwa darasani.
Utawatoa wapi? Na ziro yako unawaza kuna kuajiri.wewe mwenyewe akuajiri Nani?Mimi siku nikiwa labda na kampuni yangu, sitakuja kuajiri hawa wenye performance kubwa kivilee. I will prefers those who are average. And average from below. 1st clas wanacreativity ndogo maana wao maisha yao tunayaita ni triangle: Kula, kulala na kusoma.
Ndugai ana point hapa
Bright people ndo wanapaswa wapewe kazi kama hizi
Ivi Ndugai ana elimu gani? Maana mi huwa namuona anatabia za mwalimu wa UPE