Mmmh???? Prof. nao wapo kwenye hili kundi? Mbona wanaharibugi hivyo? Ni mtazamo tu
Huyu keshaona Bashite anaelekea wapi..................... (bado wana kabifu kao)Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.
Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu waliopata division 1 O level na A level kisha first class degree chuo kikuu hata kama ni vijana wadogo amesisitiza Ndugai.
Haijalishi ukurugenzi umeupataje cha msingi ni je una vyeti vinavyoheshimika, amemalizia Spika Ndugai.
Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma leo
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mods, this is too much!!Kauli hii imetolewa bungeni leo na Spika Job Ndugai.
Kimsingi kuna hoja ya msingi, lakini je, ni nani anayepelekewa ujumbe huo?
Of course, sisi wananchi tumekusikia .
Mrangi ameipenda sana hii!Vyeti? Are you stupid!?
Mimi nilishasoma kabla wewe na baba yako hamjazaliwa.
Nikafaulu mitihani yote nikatunukiwa elimu na shahada zote zilizopo chini ya jua!
Ninachopaswa kufanya hapa ni kukuonyesha wewe bank statements zangu, mishahara na marupurupu yote!
Vyeti pelekea mama yako akafungie sambusa!
Hahahaaa.......wabaya wa Job wanatenguka mmoja baada ya mwingine!Huyu keshaona Bashite anaelekea wapi..................... (bado wana kabifu kao)
Makombat uchwara ya ufipa yakija lazima yapingeNi mwanasheria mzuri tu hata lile tundu halimfikii hata chembe
Mbona yeye ni zero brain na yuko Bungeni, pumbaf!Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.
Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu waliopata division 1 O level na A level kisha first class degree chuo kikuu hata kama ni vijana wadogo amesisitiza Ndugai.
Haijalishi ukurugenzi umeupataje cha msingi ni je una vyeti vinavyoheshimika, amemalizia Spika Ndugai.
Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma leo
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acha kudhalilisha wanawake.Za chupi kwani umeona kuna siku wanawake wamekuwa kwenye hizo kamati au wewe unaota tu.Dont generalize your statement.Kwendraa huko.Nipe jina la mwanamke aliyewekwa kwenye hizo kamatiEtii??? amesahau ya kwamba siku hizi kuna degree na first class nyingi tu za chupi, wasomi wengi huko wanajua kukariri lakni kwenye kupambanua mambo ya msingi ni weupe yaani unaona bora hata raia wa kawaida wa mtaani wanaweza jenga hoja na kutetea hoja tofouti na hao wanoitwa vipanga wa chuo kikuu.
Mungu wangu! Hako kwa wahandisi ni kakozi tena kanasomwa semister mojaBachelor of Geographical Information Systems (GIS)
Mungu wangu! Hako kwa wahandisi ni kakozi tena kanasomwa semister moja
Yeye mwenyewe Ndugai pale chuoni alikuwa below average.Mfano ni sheria za Uchaguzi hasa Serikali za Mitaa.
Kama kile kipengele cha elimu aliyonayo mgombea!
Sasa hivi tuna vijana wasomi chungu mbovu, kwa nini kiwango cha elimu cha anayeomba nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji au Mtaa kisianzie kidato cha nne? Hapo nako huoni mapungufu ya viongozi hawa wa mitaa katika majadiliano ya wawekezaji wa ndani kwenye mitaa yao?
Aste aste Lil, kama Mungu alivyowaacha wana wa Islael waliotoka utumwani wafe kwanza pale Jangwani ili kupata clean shit [emoji23], hata sisi tunasubiri kwanza wale std7 wapotee kwanza.Mfano ni sheria za Uchaguzi hasa Serikali za Mitaa.
Kama kile kipengele cha elimu aliyonayo mgombea!
Sasa hivi tuna vijana wasomi chungu mbovu, kwa nini kiwango cha elimu cha anayeomba nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji au Mtaa kisianzie kidato cha nne? Hapo nako huoni mapungufu ya viongozi hawa wa mitaa katika majadiliano ya wawekezaji wa ndani kwenye mitaa yao?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwanasheriaNi mwanasheria mzuri tu hata lile tundu halimfikii hata chembe
State agent
Aste aste Lil, kama Mungu alivyowaacha wana wa Islael waliotoka utumwani wafe kwanza pale Jangwani ili kupata clean shit [emoji23], hata sisi tunasubiri kwanza wale std7 wapotee kwanza.
By the way, mtu wa Kidato cha nne anayejielewa hawezi kugombea pale kwakua hamna mshahara vinginevyo awe mwenye vyanzo vingine vya mapato au aende pale kutegemea dili.