Ndungai akakojowe akalaleLeo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Wewe ni mke wa naniLete na muonekano wa jiji la mke wa Amsterdam
Alichokifanya jimboni ni kupiga na mpinzani wake tena hadharani.Kwani ndugai kafanya Nini jimboni kwake? Nilipita huko maji wanabeba na punda.
Magufuli ndio aliunda genge lake la wauaji ili kuwauwa wote wasiokubaliana naye na wala hilo halina ubishi kitu kilicho mchukiza kabisa Mwenyezi Mungu na akaamua kumuondoa duniani.
This is the bitter truth that the likes of you (Boot Lickers) don't like to hear.
Ukifika kongwa utashangaaa mwenyeweHuyo mgalilaya wa kongwa yeye ameacha legacy gani hapo jimboni kwake zaidi ya Ile ya kupiga marungu wagombea wenzake.
Siasa ni mchezo wa ajabu. Humo vijembe ni sawa, kejeli ni sawa, uongo ni sawa lakini ukweli ni adimu na aghalabu!Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
HakikaHuyu Spika itakua aanakaribia.
Kuna nini maana hata nilipita kwenda mpwapwa sijaona kitu zaidi ya shida tupu. Barabara ni tatizo kubwa, maji nayo shida mtu amekaa jimboni mwaka wa ishirini na kitu mpaka sasaUkifika kongwa utashangaaa mwenyewe
Ova
Eeeeh Kongwa kunani kuleKuna nini maana hata nilipita kwenda mpwapwa sijaona kitu zaidi ya shida tupu. Barabara ni tatizo kubwa, maji nayo shida mtu amekaa jimboni mwaka wa ishirini na kitu mpaka sasa
Na barabara ya lami haipiti butiama, inapita kiabakari.Hoja ya spika ni dhaifu! Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere alikaa madarakani miaka 25 vipi aliiachaje butiama? Mbona hata barabara za lami tu pale Musoma zilikuja kujengwa na Mkapa!
Kwanza wapinzani sio wa kulaumiwa kwa lolote maana tumeshuhudia kuchakutwa, kama si kukimbizana na virungu vya polis, basi watakuwa mahakamani kwa zile kesi tulizozizowea huku na wenye mamlaka wakisisitiza hawawezi kupeleka maendeleo walipochagua mpinzani, Je mlitaka hiyo miradi akajenge kwa fedha za familia yake???
Legacy ya Ndugway jimboni mwake ni kumpiga rungu yule mpinzani wake mpaka akazimia!Angalia hata mnavyoandika kukalilishwa ndio nini, nyie wote elimu zenu na huyo Jobo sawasawa hakuna mtu mwenye akili anayemfagilia Ndugwayi never on earth
Labda taa za barabaraniUkifika kongwa utashangaaa mwenyewe
Ova