Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Hivi ni huko Ikungi tu spika ameona tatizo la maji? Kwake Kongwa kila kijiji kina maji? Je huko kwetu Isimani Ndugai anakujua pamoja na shida yake ya maji? Na huko ni kwa Lisu?. Halafu ivi mbunge anahela za kupeleka maji kwenye jimbo lake, kama sio seriksli ndiyo yenye jukumu hilo? Spika amejiridhisha kuwa Lisu hakuwahi kupigia kelele shida ya maji jimboni kwake na nchi nzima?
Nachoona Ndugai anahukumiwa kwa dhambi aliyoshiriki kuwatendea CDM, na hususani Lisu na Mbowe maana majina yao hayamkauki kinywani mwake pengine kuliko jina la mamsapu wake! Dawa kwake ni kuweka wazi dhambi hizo ili afunguliwe vifungo vya hukumu ambayo itamuandama maisha yake yote.
Unapata faida gani kutetea ujinga?
Nyumbu bwana
 
Ndugai je katika miaka kumi hiyo ya Tundu Ikungi. Je makao makuu ya nchi yanapata maji ya kutosheleza mahitaji? Huyu mzee ni mwehu kuanzia leo sintochangia hoja tena inayomhusu huyu mwendawazimu.
Naunga mkono hoja mkuu' yaani inauma hadi kuchangia hoja inayomuhusu' lisemwalo lipo,, itakua anakaribia kurudi mavumbini(though it is not good ila mambo yake yanafanya tumuwazie hivyo'[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.

Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Tutamkumbuka kuwa tulikuwa na spika wa hivyo tangu nchi ipate uhuru ndo maana hata wabunge ni hovyo hata eanashindwa kumeuliza maswali waziri mkuu!hata Kama ni kindergarten wangeuliza.hivi wabunge wale enzi za makinda wako wapi?
 
Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.

Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Wajibu wa kupeleka maendeleo majimbo ni wa serikali but mbunge kazi yake ni kuikumbusha serikali kutimiza wajibu wake so Kama walifanya kumkomoa Lisu it's a kind of stupidity
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lisu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!View attachment 1776381
Well, let us put it like this. Huyu tundulissu amekuwa mbunge miaka 20 hakuweza kupeleka maji hata nyumbani kwao. Angekuwa ni Mchagga angetengwa na ndugu hadi aangukie. Amekaa wiki 20 mgombea Urais kafanikiwa kupoteza wabunge 100. Ila matusi hayo ya kina fatmakarune for sure hakuyatoa nyumbani, Wanyiramba ni watu wapole. Au ni shemeji?
 
Wajibu wa kupeleka maendeleo majimbo ni wa serikali but mbunge kazi yake ni kuikumbusha serikali kutimiza wajibu wake so Kama walifanya kumkomoa Lisu it's a kind of stupidity
Ni lini Lisu aliikumbusha serikali badala ya kuwa bize akitetea Acacia?
 
Huyu jamaa haishi mopasho... Kwa heshima na taadhima kuanzia leo tumuite Khadija Kopa... Au malkia wa mipasho.
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lisu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!View attachment 1776381
wananchi wake wanajisaidia vichakani , hiyo ni LEGACY yake.
 
Kazi ya kupeleka maji ilikuwa ya Lissu?

Kama ndio kazi ya Mbunge, mbona Ndugai wewe vijini jimboni kwako hakuna vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo na hata hayohayo maji?
 
kwani kazi ya mbunge ni kupeleka maji?

kama ni hivyo mbona vijiji vya kongwa hakuna maji?
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lisu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!View attachment 1776381

My take.

Nguvu aliyoitumia Lisu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!

Yeye ndungai kaacha legacy gani kongwa
 
Back
Top Bottom