Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Mimi nakishangaa chama chake (CCM) ambacho kilishindwa na bado kimeshindwa kutekeleza ilani yake katika jimbo hilo miaka yote hiyo kiliyotawala nchi hii.
Inaonekana ilani ya ccm inalitambua jimbo la Lissu liko Libya sio Tz
 
Nafikiri huyp Ndugai, kichwani hakupo sawa. Nadhani ndiyo spika ambaye atakumbukwa kwa uovu.
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Sidhani kama ni mzima.
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Marehemu kabla ya kufa hutapa tapa sana mkuu na kufikia kuongea ata vitu vya ajabu,.
 
"Siwezi kupeleka miradi sehemu ambapo mlinichanganyia wabunge na mkiendelea kuwachagua sitawaletea miradi ya maendeleo. Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu. Alisikika akisema yule bwana.
 
Nakumbuka kuna kijana alipiga picha choo cha zahanati fulani huko Kongwa kilichokuwa na hali mbaya kiasi kwamba hata mende waliishi humo kwa machale na hata kama umebanwa kiasi gani ukiambiwa jisaidie humo haja inayeyuka.
Lakini kilikuwa kinatumiwa na wagonjwa wa zahanati husika yaliyomkuta huyo kijana alikamatwa na polisi na kusundwa ndani akiulizwa yeye ni nani apige picha na kuisambaza, kumbe shida ilikuwa ni jimbola spika kwamba limetiwa aibu.
 
Lisu alijifunza kwa Ndugai?
 
ndugai hakuna legacy yoyote uliyooacha kama spika na hakuna cha kukumbukwa zaidi ya kudemka na kupotwza fedha za walipa kodi.
shortly, yeye ni mfano bora wa kuepukwa na jamii.
 
Mbona sioni la maana ktk jimbo lake alichofanya?
mbona anapenda ku-attack sana wenzie?
Aliwahi kusema hadharani kuwa Lema ana madeni makubwa sana na bunge likiisha hana fedha za malipo.
Kuna kitu hakiko salama kichwani.
 
Back
Top Bottom