Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Unapata faida gani kutetea ujinga?
Nyumbu bwana
 
Ndugai je katika miaka kumi hiyo ya Tundu Ikungi. Je makao makuu ya nchi yanapata maji ya kutosheleza mahitaji? Huyu mzee ni mwehu kuanzia leo sintochangia hoja tena inayomhusu huyu mwendawazimu.
Naunga mkono hoja mkuu' yaani inauma hadi kuchangia hoja inayomuhusu' lisemwalo lipo,, itakua anakaribia kurudi mavumbini(though it is not good ila mambo yake yanafanya tumuwazie hivyo'[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.

Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Tutamkumbuka kuwa tulikuwa na spika wa hivyo tangu nchi ipate uhuru ndo maana hata wabunge ni hovyo hata eanashindwa kumeuliza maswali waziri mkuu!hata Kama ni kindergarten wangeuliza.hivi wabunge wale enzi za makinda wako wapi?
 
Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.

Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Wajibu wa kupeleka maendeleo majimbo ni wa serikali but mbunge kazi yake ni kuikumbusha serikali kutimiza wajibu wake so Kama walifanya kumkomoa Lisu it's a kind of stupidity
 
Well, let us put it like this. Huyu tundulissu amekuwa mbunge miaka 20 hakuweza kupeleka maji hata nyumbani kwao. Angekuwa ni Mchagga angetengwa na ndugu hadi aangukie. Amekaa wiki 20 mgombea Urais kafanikiwa kupoteza wabunge 100. Ila matusi hayo ya kina fatmakarune for sure hakuyatoa nyumbani, Wanyiramba ni watu wapole. Au ni shemeji?
 
Wajibu wa kupeleka maendeleo majimbo ni wa serikali but mbunge kazi yake ni kuikumbusha serikali kutimiza wajibu wake so Kama walifanya kumkomoa Lisu it's a kind of stupidity
Ni lini Lisu aliikumbusha serikali badala ya kuwa bize akitetea Acacia?
 
Huyu jamaa haishi mopasho... Kwa heshima na taadhima kuanzia leo tumuite Khadija Kopa... Au malkia wa mipasho.
 
wananchi wake wanajisaidia vichakani , hiyo ni LEGACY yake.
 
Kazi ya kupeleka maji ilikuwa ya Lissu?

Kama ndio kazi ya Mbunge, mbona Ndugai wewe vijini jimboni kwako hakuna vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo na hata hayohayo maji?
 
kwani kazi ya mbunge ni kupeleka maji?

kama ni hivyo mbona vijiji vya kongwa hakuna maji?
 
Yeye ndungai kaacha legacy gani kongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…