johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni "
Spika Ndugai aliisoma meseji hii mbele ya waombolezaji huku akiwa na masikitiko na huzuni kubwa.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Spika Ndugai aliisoma meseji hii mbele ya waombolezaji huku akiwa na masikitiko na huzuni kubwa.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!