Spika Ndugai: Marehemu Nditiye alinitumia ujumbe wa kunishukuru kwa kumuinua wiki chache zilizopita!

Kwahiyo marehemu hakuinuliwa na Mungu wala wananchi waliompigia kura bali ni spika? Dunia ina mambo na ndio maana wasomi wabobezi wanasma wameokotwa jalalalni
 
Hivi hawa wana hofu ya Mungu kweli?, viongozi tumepata kwa kweli.
 
Kwahiyo marehemu hakuinuliwa na Mungu wala wananchi waliompigia kura bali ni spika? Dunia ina mambo na ndio maana wasomi wabobezi wanasma wameokotwa jalalalni
Kwa hali ilivyo ngumu sana, Mtu yoyote akikupa Mchongo wa kupiga pesa,lazima utamuona Kama Mungu wako!!
 
Hiyo SMS alitumiwa inamhusu yeye na Marehemu ameisoma kwenye hadhara ili iweje? Maana hapo sijaona ujumbe unaohusu nchi wala wananchi ama hata Familia ya Marehemu.

Kwanza siamini kwamba kweli alitumiwa huo Ujumbe.
 
Wakati wa kuinuana ndio huu,

Kila mtu amuinue mwenzake pale anapoweza kumuinua,

Ndio ubinadamu huo na ndio kitu Mungu anapenda kuona tunafanya.
 
Back
Top Bottom