Spika Ndugai: Marehemu Nditiye alinitumia ujumbe wa kunishukuru kwa kumuinua wiki chache zilizopita!

Tabia hizo wanazo washamba washamba malimbukeni majitu ya kujikweza kweza na ma tai na makaunda suti hata weekend wakiwa kwny shughuli za kijamii mitaani
nimewaza tu, si unajua kuna ile hali ya kujikuta mkubwa sana.

sms hujibu, ikipigwa simu unapokea halafu unauliza wewe nani. ndio ulikuwa unasemaje[emoji38][emoji38][emoji38].

kwamba wakubwa hamuwezi hata kusalimiwa.
 
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni "

Spika Ndugai aliisoma meseji hii mbele ya waombolezaji huku akiwa na masikitiko na huzuni kubwa.

Source TBC.

Maendeleo hayana vyama!

Mambo ya sifa za marehemu, uongo mwingine bana, sasa huyo spika alimuinua vipi?
 
Tabia hizo wanazo washamba washamba malimbukeni majitu ya kujikweza kweza na ma tai na makaunda suti hata weekend wakiwa kwny shughuli za kijamii mitaani
Kama wewe mshika mikoba ya Jaa Kaa Yaaa.
 
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni "

Spika Ndugai aliisoma meseji hii mbele ya waombolezaji huku akiwa na masikitiko na huzuni kubwa.

Source TBC.

Maendeleo hayana vyama!
Sasa inasaidia nini,huyu andunje naye ni mzigo tu
 
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni "

Spika Ndugai aliisoma meseji hii mbele ya waombolezaji huku akiwa na masikitiko na huzuni kubwa.

Source TBC.

Maendeleo hayana vyama!
FB_IMG_1613248847913.jpg

Jiongeze
 
Kwa hiyo Ndugai anataka tumuite MPWA kisa mwendazake aliona kainuliwa naye?
Basi arasimishe kampeni ya WAPWA TUINUANE mjengoni.
 
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni "

Spika Ndugai aliisoma meseji hii mbele ya waombolezaji huku akiwa na masikitiko na huzuni kubwa.

Source TBC.

Maendeleo hayana i!
Hakutakiwa kuisoma hadhari.

Amandla...
 
Rip kwake marehemu ila mwaka huu mambo yanavoenda sirikali wajiandae kwa uchaguz wa marudio maeneo meng nchini
 
Back
Top Bottom