johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha vurugu mkuuhalafu ukute hakujibu.
nimewaza tu, si unajua kuna ile hali ya kujikuta mkubwa sana.Acha vurugu mkuu
Mkuu nimecheka sana,nimewaza tu, si unajua kuna ile hali ya kujikuta mkubwa sana.
sms hujibu, ikipigwa simu unapokea halafu unauliza wewe nani. ndio ulikuwa unasemaje[emoji38][emoji38][emoji38].
kwamba wakubwa hamuwezi hata kusalimiwa.
Anatafuta politics mileage hadi kwa mwendazake!Ndugai aache kutafuta sifa za kijinga! Huo ujumbe una msaada gani kwa marehemu?
Bwashee unaandika ukiwa na haraka ya kwenda wapi?Mods rekebisha heading isomeke Spika Ndugai.
Ameona Babu Tale amemshukuru Magu kwa kumuinua naye akaona apitie hapo hapo kwny 'wapwa wainuane'.Ndugai alimuinua vipi huyo mbunge? kwa kumuapisha au?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndugai aache kutafuta sifa za kijinga! Huo ujumbe una msaada gani kwa marehemu?