Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
[emoji23][emoji23][emoji23]Umataga haukupendezei hata.
Babeq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Umataga haukupendezei hata.
Kumbe na wewe ni kilaza namna hii ulisikiliza wapi ukasikia mbowe amechambua ripoti ya cag hajagusa kabisa mambo ya cag wewe unaleta ujinga kama wa ndugu yakoNdugai yuko sahihi.
Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.
Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.
Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.
Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Kama huu ndo mtazamo kwa nini Magufuli aonekane fisadi?Ndugai yuko sahihi.
Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.
Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.
Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.
Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
"Bunge dhaifu "Ndugai analipuka kwavile Bunge limeguswa?
Aliyekufa Ni yule dikteta mliyekuwa mnamtukuza.Mbowe ni mnafiki ,mwizi na wakala wa mabeberu.
Uzuri ni kaamba hatapenya na chama lake limeshajifia.
Mmmmmmh audit queries huwa zinarudishiwa Taasisi husika kujibu, then Taasisi husika ikijibu sawa sawa hufutwa na inapotokea Taasisi au Idara husika kushinda kujibu/kuondoa hiyo audit query basi inachukuliwa kama ndio hali halisi kwenye Conclusion!.mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Usicho jua bora unyamanze kuliko kujitia aibu kama hii!.mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Wamemmis mjengoni...Mbona hakuna mahali Mbowe aliongelea ripoti ya CAG. Nilichosikia ni Mbowe kulituhumu bunge hasa wabunge wa CCM kupewa rushwa na mwendazake ili kupitisha mambo mbalimbali zikiwemo bajeti.
Chanjo ziletwe, Ndugai awe mtu wa kwanza kuchanjwa 😆😆😆Mbowe dalali wa chanjo ya zeneca
Ndugai yuko sahihi.
Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.
Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.
Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.
Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Those who are clever.Mmmmmmh audit queries huwa zinarudishiwa Taasisi husika kujibu, then Taasisi husika ikijibu sawa sawa hufutwa na inapotokea Taasisi au Idara husika kushinda kujibu/kuondoa hiyo audit query basi inachukuliwa kama ndio hali halisi kwenye Conclusion!.
Wasukuma akili zenu kama meko tuu.audit queries haihojiwi????mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Lengo la Ndugai watanzania mjue anataka watanzania wasijasili wizi uliofanyika chini yao, ila waanza kujadili hiyo mipasho yake. Wapi CAG alisema haioni milioni 1? Kama siyo uwongo wake nini? Anawafundisha hao wanakamati wake waje na vimajibu vyepesi kwa hiyo report ya CAG!!!!Hivi Ndugai hawezi kujenga hoja zake (vihoja) bila kuwataja watu?
Chanjo ziletwe, Ndugai awe mtu wa kwanza kuchanjwa [emoji38][emoji38][emoji38]