Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Kumbe na wewe ni kilaza namna hii ulisikiliza wapi ukasikia mbowe amechambua ripoti ya cag hajagusa kabisa mambo ya cag wewe unaleta ujinga kama wa ndugu yako
 
Afisa wanyama pori 'Spika' tuambie nchi gani Ulaya imemtuma Mbowe?
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Kama huu ndo mtazamo kwa nini Magufuli aonekane fisadi?
 
Nami sioni hekima na ulazima wa kutajwa mtu bungeni ambae hawezi kujitete hukohuko bungeni. Hajakaa sawa
 
Mbowe aliongea mambo mbalimbali,wala ripoti ya CAG haikuwa mada maalum. Mh Zitto Kabwe,ndiye aliyechambua ripoti ya CAG kwa zaidi ya saa, kwanini spika anamshambulia Mbowe. Kwa hiyo inasubiriwa kauli ya Mh F.A Mbowe kupanga ratiba ya vikao vya bunge..... Nadhani huyu spika naye zimeanza,.....siku ina masaa 48
 
mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Mmmmmmh audit queries huwa zinarudishiwa Taasisi husika kujibu, then Taasisi husika ikijibu sawa sawa hufutwa na inapotokea Taasisi au Idara husika kushinda kujibu/kuondoa hiyo audit query basi inachukuliwa kama ndio hali halisi kwenye Conclusion!.
 
Mbona hakuna mahali Mbowe aliongelea ripoti ya CAG. Nilichosikia ni Mbowe kulituhumu bunge hasa wabunge wa CCM kupewa rushwa na mwendazake ili kupitisha mambo mbalimbali zikiwemo bajeti.
Wamemmis mjengoni...
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
 
Mmmmmmh audit queries huwa zinarudishiwa Taasisi husika kujibu, then Taasisi husika ikijibu sawa sawa hufutwa na inapotokea Taasisi au Idara husika kushinda kujibu/kuondoa hiyo audit query basi inachukuliwa kama ndio hali halisi kwenye Conclusion!.
Those who are clever.
 
Hivi Ndugai hawezi kujenga hoja zake (vihoja) bila kuwataja watu?
Lengo la Ndugai watanzania mjue anataka watanzania wasijasili wizi uliofanyika chini yao, ila waanza kujadili hiyo mipasho yake. Wapi CAG alisema haioni milioni 1? Kama siyo uwongo wake nini? Anawafundisha hao wanakamati wake waje na vimajibu vyepesi kwa hiyo report ya CAG!!!!
 
Back
Top Bottom