Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

...... ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.

“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya.......

Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.

Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.

Mwananchi

Hivi Ndugai yupo serious kweli?
1. Kwamba ripoti ijadiliwe mapema kwa sababu ya Mbowe?
2. Upotevu wa milioni moja kati ya 500mil hautakiwi kuhojiwa?

Au ndiyo vile ukigusa Bunge basi lazima watu wajitoe ufahamu? Kisa Mbowe kutaja rushwa Bungeni[emoji38]

Halafu anajichanganya, kusema "watu wanabeba tu mabilioni" lakini mwisho anasema "unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti"
 
Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
 
Mueleze huyu na wenzie. Watu wanajifanya wajuaaaaji kumbe empty sets.

Yaani Rais na Bunge wakapewe report nusunusu? Then iweje? Kwamba watuhumiwa wakijibu tena then CAG akaedit na kumpa tena Rais & Bunge?
Humu watu sijui wanadhani hakuwa watu wenye hizo taaluma wanazojifanya wanazijua. Humu JF hutakiwi kuwa mjuaji wa kitu usichokijua. Wewe kama ni mwalimu ongelea mambo ya ualimu utaeleweka na hakuna atayekuumbua, wewe kama ni mhandisi ongelea mambo ya uhandisi utaeleweka lakini sio kujifanya unaongelea mambo ambayo huyajui kwa kudhani hakuna watu wenye hiyo taaluma. Huyo jamaa analisha watu matango pori utadhani humu hakuna wahasibu. Audit report ikishatoka haina mjadala tena. Hapo auditor keshajiridhisha with reasonable assurance kuwa yaliyomo kwenye report ndio findings zake. Wahusika waliulizwa kuhusu hizo queries wakashindwa kuzitolea majibu ndio hapo audit ikawa concluded na kuwa issued kwa wahusika.
 
Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
Kwa kweli Ndugai hafai kuwa spika na anapaswa kujiuzulu haraka.
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Hii argument yako ni ya kijuha sana.
 
Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
Akili zake ziliachwa India kwenye matibabu
 
Hivi Ndugai yupo serious kweli?
1. Kwamba ripoti ijadiliwe mapema kwa sababu ya Mbowe?
2. Upotevu wa milioni moja kati ya 500mil hautakiwi kuhojiwa?

Au ndiyo vile ukigusa Bunge basi lazima watu wajitoe ufahamu? Kisa Mbowe kutaja rushwa Bungeni[emoji38]

Halafu anajichanganya, kusema "watu wanabeba tu mabilioni" lakini mwisho anasema "unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti"
Sio sababu ya mbowe, watu wanaopotosha.
 
mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Hapana. Audit query hurudishwa kwa wahusika kabla ya ripoti ya mwisho. Ukiona ripoti ya CAG maana yake ni kuwa wahusika walishaoata fursa ya kujibu au kurekebisha. Ungesema hivi: Ripoti hii kwa kiasi kikubwa sana inaonyesha ufisadi, lakini siyo kila kipengele chenye kasoro ni ufisadi
 
Ahaaa, umehamisha magoli boss

Nahamisha magoli, kwani ww hujui kwamba mimi sikubaliani na hilo bunge kwa jinsi lilivyopatikana? Sasa unataka niamini taasisi ambayo ni zao za wizi wa kura, ndio nitegemee uadilifu kwao?
 
Ukisikia na kuona uhorojokaji wa kiwango hiki, hapo ujue tu kuna mtu lile kabati la baridi kule Lugalo linamwita kwa mbali.

Au nakosea ndugu zangu? Maana tumepata uzoefu by now!
Hahahahahahaa
 
Ndugai yuko sahihi.

Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.

Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.

Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.

Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Tusipende kurauisisha na kucheza na kodi zetu ndugai nae no mwizi tu kama yalivyo majizi mengine
 
Back
Top Bottom