Kuwa ama kutokuwa na akili ni subjective. Mimi mwenyewe nakuona wewe kama chizi tu.hivi mbona hamna akili nyie documents za nini? barua ya kuwateua waliipata wapi waeleze hilo kwanza
Barua inajibiwa kwa baruaAkienda atapata majibu tu
Barua inajibiwa kwa barua
Upande ulioshupaza shingo ni upande wa mkundugai peke yakeKwa kuwa kila upande umeshupaza shingo na kuendelea kujihesabia haki, hili saga linaweza kwenda mpaka Oct 2025.
Kama hakuna limit mwambieni aache kutujambiaKwani kuna limit ya muda wa kujibu?
Acha umburura wewe. Ndugai anasema na alishaonyesha barua kutoka NEC inayowatambulisha hao wabunge 19. Sasas hiyo yeye Ndugai inamuhusu nini? Kwa nini Ndugai atilie shaka barua official aliyoletewa na NEC uteuzi wa hao akinamama?Tuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
Mburura wewe Kwa nini Ndugai ajibu suala linalohusu NEC? NEC ndio walisema walipokea barua kutoka chadema kuhusu hao wabunge na ndio wakamwandikia Ndugai barua wakiorodhesha hayo majina. Sasa Ndugai hapo unamhusishaje? Tumia akili walu kidogo kijanaTuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
Exactly... hata kama isingetimia sio jukumu la Ndugai yeye sio mahakama. Hayo ya akidi kutokutimia wanatakiwa wakaieleze mahakama sio Ndugai kuhoji mambo ya ndani ya chama.
Huu utaratibu alioueleza upo kwenye nyaraka gani na ulitungwa link kwani bunge linaendeshwa kwa mujibubwa sheria,kanuni na taratibu.safi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
Huna akili ndio maana jiwe aliwageuzageuza kama kambale,ni wapi katiba inalazimisha hivyo,kwenye mambo ya ushindani katiba ilazimishe?Ungekua hivyo vyama vyote vingepeleka viti maalum!!!Huu ni utashi wa taasis na mtu mwenyew.Katiba imelazimisha Mbunge yeyote lazima atokane na chama cha siasaHata nyie mlidharau katiba na sheria kwa kugoma kupeleka wabunge wa viti maalum wakati ni jambo la kisheria
Huna akili ndio maana jiwe aliwageuzageuza kama kambale,ni wapi katiba inalazimisha hivyo,kwenye mambo ya ushindani katiba ilazimishe?Ungekua hivyo vyama vyote vingepeleka viti maalum!!!Huu ni utashi wa taasis na mtu mwenyew.Katiba imelazimisha Mbunge yeyote lazima atokane na chama cha siasa
We unajua.Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Bunge haliendeshwi kwa moral authority bali katiba sheria na kanuni za BungeHuyo ni Ndugai.. Ati spika wa bunge linalo tunga sheria.
Halafu yeye hajui sheria.
Kama ameleta kanuni zinaanza leo na siyo nyuma
Hivi alishindwa nini kuwa pigia Chadema simu alipo pata barua yao miezi mitano iliyo pita? Ati leo ndio ana simama na kutoa
Maelekezo ya kipuuzi?
View attachment 1776270
Mkuu uko sahihi. Lakini lingewezekana wakati ule wa mwendazake kwani yeye alikuwa ndio kila kitu. Hivi sasa halina nafasi kwani kila kitu kiko wazi.Ndugai kajificha chini ya kivuli cha NEC maana majina ya Wabunge yanatoka NEC. Hili swali hata Ndugai mwenyewe atalirefer kwa NEC
Kwenye hayo madai ya forgery nadhani hata NEC wanaweza kujitoa ufahamu na kuitaka CHADEMA ikaithibitishe hiyo forgery kortini
Wewe ni wa kupuuzwa, wakati wengine wanaongea fact wewe umekazana na propaganda mufu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa sababu hujui chochote, hao kina Mbowe unawasikia tu kupitia jf, twitter n.k