Wewe wasema lkn siyo Chadema.CHADEMA watajikuta hadi tunafika 2024 wao wanapambana kutaka wakina HALIMA MDEE wafukuzwe Bungeni huku mambo ya msingi ya kuimalisha chama na kujipanga kwa uchaguzi Mkuu ujao wakiyasahau na kujikuta wanashindwa vibaya kwenye uchaguzi na kuendelea kulalamika huku ni wenyewe waliosababisha hayo kwa kijikita kwenye mambo madogo na kuyaacha mambo ya msingi.
Chadema kama Chama cha Siasa waloshamaliza kazi yao.Baada ya kile kikao cha kujifanya wanawavua uanachama Mdee alitokea hadharani akasema wao siyo watoto kwahiyo kina Mbowe wajaribu kuwa wastaarabu.
Huli suala Mbowe anajua
Mnyika anajua
Lisu anaweza kuwa hajuhusishwa maana alikuwa ameshakimbilia kwa amstedam.
Hii dana dana itaendelea hadi 2025 huku kina Mbowe wakichukua percent kadhaa kwenye mishahara ya hao wabunge 19
Hili jambo ni la kisheria na kikanuzi zaidi. Ushahidi wa kimazingira ni kwamba NEC, Bunge na bila shaka ofisi ya Rais walicollude na kufanya ile mambo. Hapa NEC na Speaker wataendelea kulindana tu na kutafuta some loopholes za kuibana CHADEMA na kuchelewesha process nzima..
Ndugai siyo Mshauri wala Msimamizi wala Mlezi wa Vyama vya Siasa. Asipolitambua hilo basi kuna Mtu anakinyemelea Kiti cha Spika. Anachokifanya Mtu huyo ni kuhakikisha Ndugai anachafuka vyakitosha kisha mchakato uanze wa kutokuwa na imani nae.
Kazi hado haijaisha. Kuna maandamano yanapangwa na BAWACHA kwenda Bungeni “kumshinikiza” Ndugai awafukuze wale akina dada 19Chadema kama Chama cha Siasa waloshamaliza kazi yao.
We zombie la magu sio kila mwenye ufaham ni CDM!!Kwa hyo mtu akiamua kujiuzulu ubunge amevunja katiba?we mbwiga umekariri tu sheria ya vyama vya siasa mliyocopy na kupaste kwa Kagame,hapa tunazungumzia katiba.Tatizo lenu chadema mnapenda sana mihemuko
Nenda kasome sheria ya vyama vya siasa
Yan nyie mnajiona kama ni familia ya Mbowe na mnyika tu, hamjui kama mko chini ya sheria ya vyama vya siasa chini ya jaji mutungi
Ndungai anajitoa ufahamu,kwa kukwepa ukweli kwamba tatizo la Covid-19 lililetwa na uhuni ulioushiriki.Mkuu umeuliza awali zuri sana na wengi wanalikwepa. Je uteuzi wa wabunge ukifanywa na mamlaka sahihi?? Kwa sababu Ndugai anajifanya hajui walifukuzwa kwa sababu gani. John Mnyika anadai vikao husika havikuwateua hawa kuwa wabunge - anadai waligushi!! Na kufukuzwa kwao ni kwa sababu wabunge hawa walipoka mamlaka na kujiteua.
Ni vema kujua kama waliteuliwa au walijiteua!
Awapigie simu kwani ni wapenzi wake,Huyo ni Ndugai.. Ati spika wa bunge linalo tunga sheria.
Halafu yeye hajui sheria.
Kama ameleta kanuni zinaanza leo na siyo nyuma
Hivi alishindwa nini kuwa pigia Chadema simu alipo pata barua yao miezi mitano iliyo pita? Ati leo ndio ana simama na kutoa
Maelekezo ya kipuuzi?
View attachment 1776270
KAma wao wanaenda mitandaoni na majukwaani mbona hujawashauli wafatilie ki offoce kabla ya kuja majukwaani?Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Hawezi ku resign wakati wanaingiza mkwanja wa maana na wanajua ndiyo awamu yao ya mwisho kuwa wabunge yaani mwisho wao wa carrier kisiasa labda wakajichomeke CCM,ila Jiwe angekuwa bado hai wangeendelea kibabe hivyo hivyo hata baada ya 2025 kwani ni wabunge wake na si wa CHADEMA kwani si wanachama wa hicho chama.sawa kabisa kuna watu wanajuwa mbowe anajuwa na hata hao kina halima kwa hali ya kawaida tu manneno yote haya wangekuwa wamesha resign kuna kitu wanajuwa kinawalinda
Hayo ni mambo ya ndani ya vyama. Kwani yeye anaogopa nini kumwambia msajili ampe nakala ya CHADEMA?Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.
Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.
Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.
Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?
Nakumbuka Mh. Msekwa aliwahi kulitolea ufafanuzi hili swala na kusema kisheria hao wamama hawana sifa. Alichofanya ndugai baada ya hapo ni dhihaka kwa Msekwa!
Kwani hawa pekee ndiyo wabunge wa kwanza ambao spika anaarifiwa kukoma kwao uanachama? Je wale wa awali kutoka hata ccm wao walifuata utaratibu upi ndipo mh. Ndugayi akawasikiliza?Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Labda tueleweshane, kwani speaker ndio Msajili wa vyama vya siasa? Maana as far as the matter is concerned, ofisi ya Msajili ndio addressee wa hili sakata na speaker wa Bunge anakuwa copied tu kwa taarifa na utekelezaji.Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.
Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.
Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.
Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?
We zombie la magu sio kila mwenye ufaham ni CDM!!Kwa hyo mtu akiamua kujiuzulu ubunge amevunja katiba?we mbwiga umekariri tu sheria ya vyama vya siasa mliyocopy na kupaste kwa Kagame,hapa tunazungumzia katiba.
Huyu mtu amewahi kukiri mwenyewe kwa mdomo wake tena akiwa na akili timamu pale bungeni bila ya kushurutishwa na mtu alitamka kwamba ana cheti cha hospital ya mirembe akimaanisha yeye ni certified psychopath.[emoji3][emoji3] Ati awapigie simu, mambo ya kiofisi hayawezi kwenda kwa mfumo huo, tatizo CDM wanaleta ujuaji wakati huo spika ashaona kosa lao lipo wapi, yupo anawachora tu.
hapo ndiyo kwenye shida kuu kwanini mbowe yuko kimya sikuhizi anajuwa nani alipeleka majina sasa hawa wakienda kwenye rufaa tu kimenuka ndiyo maana hata rufaa hawataki utashtukia imefika 2025
Bi assistant majua salary la covid 19 ni kwamba hawa wabunge walichaguliwa na Tume na si Chadema, tayari kule nyuma chadema waliwahi sema hawakupelekea majina Tume na wala bungeni, bali wababe walifanya wajuavyo. Sasa mambo yameparanganyika shida inakuwa kubwa. Hata hao covid wenyewe wanaona haya vile wanavyotritiwa. Mambo ya hovyo sanaMe nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
We zombie la jiwe,Stop asking me rhetoric question!!!Ulisoma umri wa kujiunga Jf?