Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

CHADEMA watajikuta hadi tunafika 2024 wao wanapambana kutaka wakina HALIMA MDEE wafukuzwe Bungeni huku mambo ya msingi ya kuimalisha chama na kujipanga kwa uchaguzi Mkuu ujao wakiyasahau na kujikuta wanashindwa vibaya kwenye uchaguzi na kuendelea kulalamika huku ni wenyewe waliosababisha hayo kwa kijikita kwenye mambo madogo na kuyaacha mambo ya msingi.
Wewe wasema lkn siyo Chadema.
 
Baada ya kile kikao cha kujifanya wanawavua uanachama Mdee alitokea hadharani akasema wao siyo watoto kwahiyo kina Mbowe wajaribu kuwa wastaarabu.

Huli suala Mbowe anajua
Mnyika anajua
Lisu anaweza kuwa hajuhusishwa maana alikuwa ameshakimbilia kwa amstedam.

Hii dana dana itaendelea hadi 2025 huku kina Mbowe wakichukua percent kadhaa kwenye mishahara ya hao wabunge 19
Chadema kama Chama cha Siasa waloshamaliza kazi yao.
 
.
Ndugai siyo Mshauri wala Msimamizi wala Mlezi wa Vyama vya Siasa. Asipolitambua hilo basi kuna Mtu anakinyemelea Kiti cha Spika. Anachokifanya Mtu huyo ni kuhakikisha Ndugai anachafuka vyakitosha kisha mchakato uanze wa kutokuwa na imani nae.
Hili jambo ni la kisheria na kikanuzi zaidi. Ushahidi wa kimazingira ni kwamba NEC, Bunge na bila shaka ofisi ya Rais walicollude na kufanya ile mambo. Hapa NEC na Speaker wataendelea kulindana tu na kutafuta some loopholes za kuibana CHADEMA na kuchelewesha process nzima.

Haya mambo ya kudaiana attachments za vikao na KATIBA ni secondary. Issue ya msingi ni kwamba CHAMA kinadai wale watu hakikuwateua. Speaker anadai ana barua rasmi kutoka NEC ikimjulisha kwamba hao wameteuliwa.

Swali ni je, process ya kuwafukuza inapaswa ianzie kwa Speaker au NEC? Nadhani Speaker angekaa kando tu kwani yeye sio mshauri wa Vyama. CHADEMA nao wanapaswa kujua vita yao waipeleke wapi in a strategic manner.

Hii ya BAWACHA kuandaa maandamano eti kuelekea Bungeni ni kupoteza muda na kurisk vipigo unnecessarily
 
Chadema kama Chama cha Siasa waloshamaliza kazi yao.
Kazi hado haijaisha. Kuna maandamano yanapangwa na BAWACHA kwenda Bungeni “kumshinikiza” Ndugai awafukuze wale akina dada 19
 
Alivyowapa ubunge alitumia viambatanisho vipi, mwambieni atumie vile vile.
 
Tatizo lenu chadema mnapenda sana mihemuko
Nenda kasome sheria ya vyama vya siasa

Yan nyie mnajiona kama ni familia ya Mbowe na mnyika tu, hamjui kama mko chini ya sheria ya vyama vya siasa chini ya jaji mutungi
We zombie la magu sio kila mwenye ufaham ni CDM!!Kwa hyo mtu akiamua kujiuzulu ubunge amevunja katiba?we mbwiga umekariri tu sheria ya vyama vya siasa mliyocopy na kupaste kwa Kagame,hapa tunazungumzia katiba.
 
Mkuu umeuliza awali zuri sana na wengi wanalikwepa. Je uteuzi wa wabunge ukifanywa na mamlaka sahihi?? Kwa sababu Ndugai anajifanya hajui walifukuzwa kwa sababu gani. John Mnyika anadai vikao husika havikuwateua hawa kuwa wabunge - anadai waligushi!! Na kufukuzwa kwao ni kwa sababu wabunge hawa walipoka mamlaka na kujiteua.

Ni vema kujua kama waliteuliwa au walijiteua!
Ndungai anajitoa ufahamu,kwa kukwepa ukweli kwamba tatizo la Covid-19 lililetwa na uhuni ulioushiriki.
Anajua kuwa walijiteua waligushi barua wakishirikiana na taasisi za serikali.
Atwambie mtu aliyekuwa jela alijazia wapi fomu.
Ni dhahiri alishiriki na kubariki ubatili huo,sasa anajaribu kujikosha mbele ya mama Samia.
 
Huyo ni Ndugai.. Ati spika wa bunge linalo tunga sheria.

Halafu yeye hajui sheria.

Kama ameleta kanuni zinaanza leo na siyo nyuma

Hivi alishindwa nini kuwa pigia Chadema simu alipo pata barua yao miezi mitano iliyo pita? Ati leo ndio ana simama na kutoa

Maelekezo ya kipuuzi?

View attachment 1776270
Awapigie simu kwani ni wapenzi wake,
Shughuli za kishelia sio mambo ya kibeby baby,
Kama ni simu mbona wao hawakumpigia simu bali waliandika barua?

Kama barua haijakamilika kwa nini huko chadema hawataki kukaa wakamilishe vigezo ili sababu zibaki kwa spika tumhukumu?

Chadema wanogopa nini?
Na katiba yenu inasemaje kuhusu kuwafukuza uanachama?

Muwe mnatumia akili kusema mambo, na kama hujui ni vema ukakaa kimya.
 
katiba.jpg
 
K
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
KAma wao wanaenda mitandaoni na majukwaani mbona hujawashauli wafatilie ki offoce kabla ya kuja majukwaani?
Baada ya kutuma barua kwa nini hawakuomba au kufuatilia kuonana nae awambie mapungufu yaliopo?

Wai.walianza kumtukana na kumdhalilisha hivyo wanaona aibu kuonana nae ndo maana wanapayuka kwenye majukwaa, hinyo spika nae anawajibu kupitia jukwaa la bunge maana uongizi wa bunge ndo unalalamikiwa.
 
sawa kabisa kuna watu wanajuwa mbowe anajuwa na hata hao kina halima kwa hali ya kawaida tu manneno yote haya wangekuwa wamesha resign kuna kitu wanajuwa kinawalinda
Hawezi ku resign wakati wanaingiza mkwanja wa maana na wanajua ndiyo awamu yao ya mwisho kuwa wabunge yaani mwisho wao wa carrier kisiasa labda wakajichomeke CCM,ila Jiwe angekuwa bado hai wangeendelea kibabe hivyo hivyo hata baada ya 2025 kwani ni wabunge wake na si wa CHADEMA kwani si wanachama wa hicho chama.
Ndugai nadhani matatizo ya akili bado hajapona, regardless irregularities haiwezekani mtu ambaye amefutwa uanachama yaani si mbunge tena wa chama husika halafu awe bungeni kwa kivuli cha chama ambacho si chama chake.
 
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.

Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.

Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.

Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?

Hayo ni mambo ya ndani ya vyama. Kwani yeye anaogopa nini kumwambia msajili ampe nakala ya CHADEMA?
Tangu lini kazi ya BUNGE ikawa kuhakiki uhalali wa maamuzi ya vyama? Na kwa ibara gani ya katiba?
 
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Kwani hawa pekee ndiyo wabunge wa kwanza ambao spika anaarifiwa kukoma kwao uanachama? Je wale wa awali kutoka hata ccm wao walifuata utaratibu upi ndipo mh. Ndugayi akawasikiliza?
 
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.

Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.

Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.

Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?

Labda tueleweshane, kwani speaker ndio Msajili wa vyama vya siasa? Maana as far as the matter is concerned, ofisi ya Msajili ndio addressee wa hili sakata na speaker wa Bunge anakuwa copied tu kwa taarifa na utekelezaji.

Haya maswali yanayoulizwa na speaker yalipaswa kuhojiwa na Msajili kama hakuridhishwa na maamuzi au kama anaona hajaelewa au kuna malalamiko yeyote kutoka kwa wahusika wa upande wa pili.

Kama Msajili ameridhika nadhani sio sawa kwa speaker kuchukua majukumu ya Msajili wa vyama vya siasa.

Jambo la ajabu mama Samia anabariki huu uhuni. Heri wangelimaliza kwa kukaa na CHADEMA waangalie kama kuna shida hao 19 waondolewe then iletwe list mpya mambo yaendelee. Kwani shida ipo wapi?
 
We zombie la magu sio kila mwenye ufaham ni CDM!!Kwa hyo mtu akiamua kujiuzulu ubunge amevunja katiba?we mbwiga umekariri tu sheria ya vyama vya siasa mliyocopy na kupaste kwa Kagame,hapa tunazungumzia katiba.

Ulisoma umri wa kujiunga Jf?
 
[emoji3][emoji3] Ati awapigie simu, mambo ya kiofisi hayawezi kwenda kwa mfumo huo, tatizo CDM wanaleta ujuaji wakati huo spika ashaona kosa lao lipo wapi, yupo anawachora tu.
Huyu mtu amewahi kukiri mwenyewe kwa mdomo wake tena akiwa na akili timamu pale bungeni bila ya kushurutishwa na mtu alitamka kwamba ana cheti cha hospital ya mirembe akimaanisha yeye ni certified psychopath.

Sielewi kwa nini hatupeleki motion ya kumtoa kwenye hiyo seat on grounds of incapacity due to insanity 🤷🤷😃
 
hapo ndiyo kwenye shida kuu kwanini mbowe yuko kimya sikuhizi anajuwa nani alipeleka majina sasa hawa wakienda kwenye rufaa tu kimenuka ndiyo maana hata rufaa hawataki utashtukia imefika 2025

Sidhani ni hivo sana. Ugumbu uko hapa - baadhi ya wabunge hawa ni wajumbe wa kamati kuu. Hawakuwepo wakati wakifukuzwa na hawatakuwa upande wa kamati hata wakati wa kusikiliza rufaa! Huenda hili linaacha technical difficulty - akidi haikutimia kufanya maamuzi ya kuwafukuza na haitatimia wakati wa kusilkiliza rufaa. Ingekuwa Chadema wana akidi - wangeshasikiliza rufaa na kuwafukuza tena kwa sababu mpaka sasa wanaonekana hawawataki katika chama!

Kukosekana kwa akidi ndio kinachoshadidiwa na Spika kwa sababu ni katika viambatanisho hivo itaonekana maamuzi yalikuwa ya msingi lakini uhalali unakosekana!!

Akidi huthibitisha uhalali!!
 
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Bi assistant majua salary la covid 19 ni kwamba hawa wabunge walichaguliwa na Tume na si Chadema, tayari kule nyuma chadema waliwahi sema hawakupelekea majina Tume na wala bungeni, bali wababe walifanya wajuavyo. Sasa mambo yameparanganyika shida inakuwa kubwa. Hata hao covid wenyewe wanaona haya vile wanavyotritiwa. Mambo ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom