[emoji3][emoji3] Ati awapigie simu, mambo ya kiofisi hayawezi kwenda kwa mfumo huo, tatizo CDM wanaleta ujuaji wakati huo spika ashaona kosa lao lipo wapi, yupo anawachora tu.HUYU SHOGA NAYE KAANZA KUHARISHA HUMU JUKWAANI ANASHINDWA KUCHUNGA KONDOO ANAKUJA KWENYE SIASA
Hapo ndio patamu sasa Je?nani aliwateuwa kuwa wabungeKwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndugai anajiamini sana inaonekana kuna kitu anakijua na mkiendelea kumtukana kuna siku atakisema.
Tatizo misukule ya chadema tukisema hili chezo Mbowe na Mnyika wanalijua hamtaki kuelewa, ndio maana wenzenu waliwaita nyumbu!
sawa kabisa kuna watu wanajuwa mbowe anajuwa na hata hao kina halima kwa hali ya kawaida tu manneno yote haya wangekuwa wamesha resign kuna kitu wanajuwa kinawalindaNdugai anajiamini sana inaonekana kuna kitu anakijua na mkiendelea kumtukana kuna siku atakisema.
Tatizo misukule ya chadema tukisema hili chezo Mbowe na Mnyika wanalijua hamtaki kuelewa, ndio maana wenzenu waliwaita nyumbu!
Anawajubu kihuni sababu hata chadema wenyewe wanamsema kihuniMe nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Hakidi haikutimia wakati watu maelfu kwa maelfu walikesha mlimani city kwenye kikao cha kamati kuu?
Chadema walikosea? Una Katiba ya Chadema?
mnyika aliandaa majina akapeleka kwa mbowe sasa kabla hawajayapeleka tume kukatokea kutoelewana kila mtu alitaka apeleke mkewake mbowe kwa kuwa alikuwemo halima akayapeleka fasta waende mahakamani kama haijakutwa sahihi ya mnyika kwenye hayo majina ndiyo maana wanaogopaHapo ndio patamu sasa Je?nani aliwateuwa kuwa wabunge
Unamtetea huyo kichaa, dunia itakushangaa.[emoji3][emoji3] Ati awapigie simu, mambo ya kiofisi hayawezi kwenda kwa mfumo huo, tatizo CDM wanaleta ujuaji wakati huo spika ashaona kosa lao lipo wapi, yupo anawachora tu.
... hata kama isingetimia sio jukumu la Ndugai yeye sio mahakama. Hayo ya akidi kutokutimia wanatakiwa wakaieleze mahakama sio Ndugai kuhoji mambo ya ndani ya chama.Hakidi haikutimia wakati watu maelfu kwa maelfu walikesha mlimani city kwenye kikao cha kamati kuu?
labda nikuulize mkuu, kama nini wewe spika angefanyeje kuhusiana na hilo.Unamtetea huyo kichaa, dunia itakushangaa.
Hii taarifa nani alikupa wewe au na wewe ni mmoja wao?mnyika aliandaa majina akapeleka kwa mbowe sasa kabla hawajayapeleka tume kukatokea kutoelewana kila mtu alitaka apeleke mkewake mbowe kwa kuwa alikuwemo halima akayapeleka fasta waende mahakamani kama haijakutwa sahihi ya mnyika kwenye hayo majina ndiyo maana wanaogopa
Baada ya kile kikao cha kujifanya wanawavua uanachama Mdee alitokea hadharani akasema wao siyo watoto kwahiyo kina Mbowe wajaribu kuwa wastaarabu.sawa kabisa kuna watu wanajuwa mbowe anajuwa na hata hao kina halima kwa hali ya kawaida tu manneno yote haya wangekuwa wamesha resign kuna kitu wanajuwa kinawalinda
Sasa hivi Ndugaye kashalegea na ni suala la muda tu hao covid hili bunge la bajeti hawalimaliziKwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
kwanini hawaendi mahakamani sasa... hata kama isingetimia sio jukumu la Ndugai yeye sio mahakama. Hayo ya akidi kutokutimia wanatakiwa wakaieleze mahakama sio Ndugai kuhoji mambo ya ndani ya chama.
Ndugai kuna kitu anakijua,Ndugai anaanza kutetemeka sasa.