hakuna lolote, mzee mzima kashaaibika na amekosa namna ya kuchomoka. kiti kinayumba hiki. Hili lilikuwa ni dili la yeye na mwendazake!! sasa kuwatosa hawa anaona ni kama kumsaliti asiyekuwapo duniani - patamu hapo.Ndugai anajiamini sana inaonekana kuna kitu anakijua na mkiendelea kumtukana kuna siku atakisema.
Tatizo misukule ya chadema tukisema hili chezo Mbowe na Mnyika wanalijua hamtaki kuelewa, ndio maana wenzenu waliwaita nyumbu!