Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki...
Kuna maono kuhusu Ndugai , ondoeni shakaKuna jambo moja ambalo Ndugai analikwepa, na pia kuna kosa Ndugai anafanya, hivyo naweza kusema anafanya makosa makubwa mawili kwa makusudi...
Inawezekana ndio maana anajiamini.Wakati wa uteuzi alipelekewa na katiba na muhtasali ndo akawaapisha?
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki...
Kwa asilimia kubwa Ndugai sheria anajua sema kaona asilimia kubwa ya Watanzania bado wajinga.
issue ya dollar bilion 1 za european union za utawala bora zimebuma wazungu wanajua mchezo wote unaoendelea jamaa waliiiba kura kupitiliza vigezo na masharti vikapotea ikabidi sasa covid 19 walazimishwe kuingia kwenye hilo jengo linaloitwa bunge dhaifu.wapishe mjengoni fasta.
Jibu kamili ,sasa wao wanataka awavue ubunge kihuniMpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Spika au NEC wangekuwa na hiyo barua wangeitoa zamani. Wana mapenzi gani na Mbowe na Mnyika kiasi cha kuwafichia aibu yao? Wangeitoa, wakina Halima wangepata uhalali na Mbowe na Mnyika wangeonekana wazi kuwa sio watu wa kuaminiwa.mnyika aliandaa majina akapeleka kwa mbowe sasa kabla hawajayapeleka tume kukatokea kutoelewana kila mtu alitaka apeleke mkewake mbowe kwa kuwa alikuwemo halima akayapeleka fasta waende mahakamani kama haijakutwa sahihi ya mnyika kwenye hayo majina ndiyo maana wanaogopa
Unawaonea wivu?issue ya dollar bilion 1 za european union za utawala bora zimebuma wazungu wanajua mchezo wote unaoendelea jamaa waliiiba kura kupitiliza vigezo na masharti vikapotea ikabidi sasa covid 19 walazimishwe kuingia kwenye hilo jengo linaloitwa bunge dhaifu...
Mmeambiwa pelekeni taarifa zenye akili sio vipeperushi, we unadhani mboe hajui kufuata ama anafanya makusudi.Huyo ni Ndugai.. Ati spika wa bunge linalo tunga sheria.
Halafu yeye hajui sheria.
Kama ameleta kanuni zinaanza leo na siyo nyuma
Hivi alishindwa nini kuwa pigia Chadema simu alipo pata barua yao miezi mitano iliyo pita? Ati leo ndio ana simama na kutoa maelekezo ya kipuuzi??? View attachment 1776270
Hayo ni makubaliano yapo kati ya Mbowe, Mnyika na Ndugai.Spika au NEC wangekuwa na hiyo barua wangeitoa zamani. Wana mapenzi gani na Mbowe na Mnyika kiasi cha kuwafichia aibu yao? Wangeitoa, wakina Halima wangepata uhalali na Mbowe na Mnyika wangeonekana wazi kuwa sio watu wa kuaminiwa.
Hiyo ni spinning tu na haina ukweli wowote.
Amandla...
Na alipelekewa katiba na majina ya wajumbe waliohudhuria kikao Cha kuwateuaKwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
Hivi wanaposema 'Mfumo dume' manake ni kuwa wakiondolewa hao COVID 19 watakaochukua nafasi zao wanakuwa ni wanaume? au mie ndio sijaelewa!!!Vyovyote Iwavyo HAO wabunge wameshaharibikiwa mambo yao ndani ya chama chao cha chadema spika hata angewalinda naamini Hawana nafasi tena kwenye chama chao..
Job Ndugai na kile kikurugenzi kiiba kura cha nec chenye bichwa kama panga butu, kinaitwa nani sijui mahelaKwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?