Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Acha kupiga ramli wew mgogo,hyo sheria anaijua ndugai tu.Kiufupi ni ujeuri wa madaraka kukiri makosa ya kuvunja katiba hvyo ameamua kujitutumua tu!!!Alikua wapi siku zote,mbona anaropoka hatuambii anatumia sheria ipi iliyokiukwa?
 
Kuna jambo moja ambalo Ndugai analikwepa, na pia kuna kosa Ndugai anafanya, hivyo naweza kusema anafanya makosa makubwa mawili kwa makusudi.

1.Spika huwezi kutoa agizo au maelekezo kwa chama cha siasa kwa mdomo bali anapaswa kufanya hivyo kwa kuwaandikia CHADEMA barua rasimi licha ya ukweli kuwa hata haki hiyo ya kuhoji maamuzi ya CHADEMA hana.

2.Pili, kama anataka nyaraka za kuwafukuza uanachama wabunge hao, atuonyeshe au ahoji pia nyaraka za wabunge hao kuteuliwa na CHADEMA kuwa wabunge wa viti maalumu kutoka kwa Mamlaka iliyowasilisha majina hayo kwake(NEC).

CHADEMA mawasiliano yote kuhusu hili sakata yako kimaandishi ila Ndugai anapiga porojo tu(naona anakwepa maandishi ingawa ana kinga na zaidi anafikiri CHADEMA watafanya anachokitaka).

Viatu alivyovaa Ndugai si size yake.
Hajazungumza nje ya ukumbu wa bunge, kazungumzia ndani ya ukumbi! Nafikiri hadhi ya ule ukumbi unaifahamu vyema na akiwa amevaa lelo joho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapishe mjengoni fasta.
issue ya dollar bilion 1 za european union za utawala bora zimebuma wazungu wanajua mchezo wote unaoendelea jamaa waliiiba kura kupitiliza vigezo na masharti vikapotea ikabidi sasa covid 19 walazimishwe kuingia kwenye hilo jengo linaloitwa bunge dhaifu
hakuna kupeleka documents hadi hao waliofoji signature za katibu wa chama na kujiteua wenyewe wakamatwe na kuhukumiwa jela kwa forgery
Nchi la kingese kwelikweli yaani watu wanajiteua na speaker wa bunge anasema nitawalinda dhidi ya mfume dume
European union wana mabalozi hapa wanjua kila kitu wanawacheka tu style ya kitoto kweli kuvuta trilions 2 zao kirahisirahisi kwa maigizo ya covid 19 eti kuna upinzani bungeni wa kina mzee mdee
Unawaonea wivu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Subirini muone! Unafikiri Ndugai anajiamini bure tu? Anajua sana kilichotokea tatizo nyie wafuasi sugu hamuwezi kuelewa haya mambo
Mbona anjieleza sana?siyo kuwaonea wivu tu wanatakiwa wawe jela kwa forgeryCHAMA CHA ****** (CHACHANDU) what a waste of space?
 
Spika anaweza kutuonyesha barua ya Chadema iliyotumwa kwake kuwatambulisha hao wabunge wa gereji kuwa ni wawakilishi wa chadema bungeni?
 
Ndungai kama anapiga na kivuli chake na wale kina mama wangeanza kutafuta ustarabu mwingine tu wanajidhalilisha tu katika hili lakini kwa sisi wa Tanzania mshipa wa aibu ulishakatwa zamani maana wako bungeni kama wabunge wa Ndungai hata wa CCM wanawatizama kwa dharau fulani hivi/ Heshima muhimu sana kwa kweli.
 
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Tunakoelekea Job ndugai atakuwa kama mpuuzi mpuuzi tu mmoja anayekula pesa za walipa kodi.
 
safi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
Wewe kenge ni hasara kwa familia yako
 
Tuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
Hao viongozi wenu wanawachezesha chekundu, wameona ishu ya kuwavua ubunge ningumu sasa wanahamisha magoli wanasema nani aliwateuwa.
Waliwezaje kuja nahoja ya kuwavua ubunge watu ambao hawajawateuwa.

Wameambiwa wadhibitishe baruayao kama ni feki wanazungusha machotu, makamanda refusheni akilizenu aisee DJ ametumwa ela hawezi kuwatoa hao covd hata iweje maana kuwatoa nikutoa pesa mfukoni.

Muulizeni anapokea ruzuku ama hapokei.
 
Hivi ndivyo alivyojibu barua? Kapelekewa barua, si ajibu kwa maandishi? Huyu mzee anakera sana sasa. Asituone wote wajinga
 
yes wamepeleka majina wenyewe halafu wanayakana waende mahakamani wakaseme wamefogiwa
Sio kila hoja lazima uchangie, wakati mwingine unakaa kimya ili kuficha ujinga wako uliokujaa, unakuwa na akili mbovu kama job ndugai mzee
 
Hayo ni makubaliano yapo kati ya Mbowe, Mnyika na Ndugai.
Ili iweje? Acha uongo. Ndugai tangu lini amempenda Mbowe kiasi cha kumfichia siri ambayo ingeweza kumtoa kabisa katika siasa?
Matumaini yake ilikuwa CHADEMA waite Baraza ili wakina Halima waweze kwenda Mahakamani. Mbona maneno yote haya hakuyasema wakati Mwendazake yupo? Sasa hivi anajua kuwa aliyepo anaweza kumtosa mambo yakiharibika. Chuki binafsi kwa Mbowe na ubabe ndio umemfikisha hapa. Angejikalia kimya tu, wakina Halima wangeendelea kuwepo bila shida yeyote maana ni yeye peke yake mwenye mamlaka ya kuwavua ubunge.

Amandla..
 
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!wasubiri official letter wataipata.
Mmesha pewa maelekezo yafuateni mambo yaende mbele sio kuanzisha zengwe jipya la official,official,official.

Kaeni msubiri official letter.
 
Ili iweje? Acha uongo. Ndugai tangu lini amempenda Mbowe kiasi cha kumfichia siri ambayo ingeweza kumtoa kabisa katika siasa?
Matumaini yake ilikuwa CHADEMA waite Baraza ili wakina Halima waweze kwenda Mahakamani. Mbona maneno yote haya hakuyasema wakati Mwendazake yupo? Sasa hivi anajua kuwa aliyepo anaweza kumtosa mambo yakiharibika. Chuki binafsi kwa Mbowe na ubabe ndio umemfikisha hapa. Angejikalia kimya tu, wakina Halima wangeendelea kuwepo bila shida yeyote maana ni yeye peke yake mwenye mamlaka ya kuwavua ubunge.

Amandla..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe haya mambo yako juu ya uwezo wako,

Ulishawahi kuwaza kama kuna siku Lisu na chadema nzima watampigia makofi Lowasa, Sumaye na Nyarandu?
 
Kwa lilipofikia hili bunge binafsi natamani livunjwe tufanye uchaguzi upya tupate wawakilishi wa maana!!

Hivi kuna mwenye akili timamu anategemea lolote la maana kutoka kwenye hili bunge kweli!!
 
Huyu jamaa keshabanwa kwenye kona mbovu hana ujanja tena, sasa kilichopo ni kwamba anatafuta namna/sababu ya kutokea ili kuwatosa covid 19...... Hakuna jingine.
 
safi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
We Boya,

Barua hujibiwa kwa barua, mwambie huyo speaker wako aijibu hiyo barua ya chadema kwamba Ina mapungufu kisheria na azitaje Sheria hizi na kuwataka chadema warekebishe ili aweze kuchukua maamuzi.

Sasa kutokufanya hivyo ni uboya, kutokujua mamlaka yake, kutokuheshimu vyama vya siasa na utaratibu wao, kutokuwa na weledi wa uendeshaji wa Ofisi ya speaker.

Lakini pia nafikiri speaker ama we mleta mada umeisoma vizuri barua ya chadema kwenda tume ya uchaguzi. Rejea ufafanuzi time walioomba kupewa.

Nani amepeleka majina time(watoe nakala) Nani akitoa form 8D kutoka time na Nani alizipokea (nakala ya form hizo)
Nani alijaza na kusign sehemu ya katibu mkuu (nakala). Time umekaa kimya hawajawahi kujibu.

Time hawajajibu Wala Bunge hawajajibu Ila barua zingine zote wamejibiwa.

Ukiwa mbabe ukumbuke Daudi akimfanyaje Goliathi
 
Acha kupiga ramli wew mgogo,hyo sheria anaijua ndugai tu.Kiufupi ni ujeuri wa madaraka kukiri makosa ya kuvunja katiba hvyo ameamua kujitutumua tu!!!Alikua wapi siku zote,mbona anaropoka hatuambii anatumia sheria ipi iliyokiukwa?

Pelekeni sasa hivyo vielelezo sio mnakuja kupiga makelele hapa
 
Back
Top Bottom