Mwembe sio tishio, CDM na Mbowe wapo salama na wasafi, wangekuwa na kasoro ama madudu Makatibu wabuu wakuu Slaa na Mashinji wangetumika ipasavyo.Mwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg
Mwisho wa Ndugai ni aibu kubwa. Kitendo cha wakazi wa Kongwa kumkataa mbele ya Rais ndio mwanzo wa mwisho mbaya
Mbona kwenye kesi sijaona uhusika wa Ufipa ?Mwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg
Unahitaji moyo wa chuma na ukicha kdg kuitetea ccm... kifupi ni aibu ya karneChadema wajiandae kuragazwa tena
Na yeye kaanza kuangaika na kwenda mahakamani ndio malipo ya kumtumikia shetani. Anakutumia then anakubwaga. na bado tutaona mengi hata usipika haupo atafute kazi ya kufanya 2020~2025.
Kesi namba 12/2020 inayomkabili Spika wa Bunge, Job Ndugai imepangwa kuanza kusikilizwa Katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es salaam mnamo Juni 3 mwaka huu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa Saba.
Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Taasisi ya Haki za Kiraia na msaada wa Kisheria(CILAO) inaiomba Mahakama kutoa tafsiri kuhusu kitendo Cha Spika huyo kumruhusu Mbunge wa Ndanda, Mwambe kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge ilhali alishatangaza kuhama Chama chake na kuhamia CCM.
Yaani ulikuwa hujaelewa hilo?MWAMBE KAJIAIBISHA SANA.NIMEAMINI ALIKUWA PANDIKIZI
Ninawapenda wana KongwaMwisho wa Ndugai ni aibu kubwa. Kitendo cha wakazi wa Kongwa kumkataa mbele ya Rais ndio mwanzo wa mwisho mbaya
Mwisho wa Ndugai ni aibu kubwa. Kitendo cha wakazi wa Kongwa kumkataa mbele ya Rais ndio mwanzo wa mwisho mbaya
Mwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg