ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Mchawi akijiliwaza baada kushindwa kumpandikiza uenyekiti CHADEMAMwambe hatoki bungeni mpaka bunge litakapo vunjwa na Rais.
Mchawi akijiliwaza baada kushindwa kumpandikiza uenyekiti CHADEMAMwambe hatoki bungeni mpaka bunge litakapo vunjwa na Rais.
Alijiuzuru mwenyewe, akapokelewa kwenu, labda mwateseka mnaotaka arudi, sijui wapi.Mwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg
Mnatia huruma kwa kweli, jitahidini kuuliwaza mzigo wenuMwambe hatoki bungeni mpaka bunge litakapo vunjwa na Rais.
Hamueleweki mara hamziamini mahakama mara mnaziamini.yani mnayumba sana.Mnatia huruma kwa kweli, jitahidini kuuliwaza mzigo wenu
Ndugai mpuuzi sana anajipendekeza kwa Magufuli kumbe linajua watu Kongwa hawalitaki na vidole vyake vilivyokatwaKesi namba 12/2020 inayomkabili Spika wa Bunge, Job Ndugai imepangwa kuanza kusikilizwa Katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es salaam mnamo Juni 3 mwaka huu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa Saba.
Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Taasisi ya Haki za Kiraia na msaada wa Kisheria(CILAO) inaiomba Mahakama kutoa tafsiri kuhusu kitendo Cha Spika huyo kumruhusu Mbunge wa Ndanda, Mwambe kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge ilhali alishatangaza kuhama Chama chake na kuhamia CCM.
Ngoja nikumegee kidoogo.Mchawi akijiliwaza baada kushindwa kumpandikiza uenyekiti CHADEMA
Mwisho wa Ndugai ni aibu kubwa. Kitendo cha wakazi wa Kongwa kumkataa mbele ya Rais ndio mwanzo wa mwisho mbaya
Wasalimie, endeleeni kujiliwazaNgoja nikumegee kidoogo.
CCM inawanachama ndani ya CCM na ndani ya wapinzani.
Kuna viongozi wakubwa CHADEMA ni wana CCM watiifu.
Wakati CHADEMA mnakesha mitandaoni kupiga umbea wa kigogo na mange,CCM inafanya vikao usiku na mchana na madiwani na wabunge wa CHADEMA.
Na washakubali kusilimu ila wanangoja kwanza moto ukolee.
Ntawapa salamu zao kesho weekend kwenye kikao CCM waliondani ya ufipa.Wasalimie, endeleeni kujiliwaza
Si ni mzigo wenu ubebeni tuHamueleweki mara hamziamini mahakama mara mnaziamini.yani mnayumba sana.
Kuweni na misimamo ndo msingi wa mafanikio.
Mwembe bado yupo sana jana,leo na kesho.
SI uunge mkono juhudi?.huko unapoteza nguvu bure.Si ni mzigo wenu ubebeni tu
Mwembe sio tishio, CDM na Mbowe wapo salama na wasafi, wangekuwa na kasoro ama madudu Makatibu wabuu wakuu Slaa na Mashinji wangetumika ipasavyo.
Nimecheka sana,eti waziri mkuu mbowe khaaSI uunge mkono juhudi?.huko unapoteza nguvu bure.
Embu nitajie baraza la mawaziri la serikali ya Chadema mkishachukua nchi 2021?
Waziri mkuu wa ufipa div:0 Olevel.Nimecheka sana,eti waziri mkuu mbowe khaa
Waziri wa mambo ya ndani sugu,Waziri mkuu wa ufipa div:0 Olevel.
Hahaha ufipa bwana kila mtu pandikizi,siku moja hata mbowe ataitwa pandikiziMWAMBE KAJIAIBISHA SANA.NIMEAMINI ALIKUWA PANDIKIZI
Mwita waitara atakuwa waziri wa ulinzi alafu Halima Mdee wanawake na watoto.Waziri wa mambo ya ndani sugu,
Ukiwaangalia vizur utagundua kua kilichopo pale kikubwa ni biashara,wako Kwa ajir ya ruzuku na si kushika Dola,Mwita waitara atakuwa waziri wa ulinzi alafu Halima Mdee wanawake na watoto.
Walikuwa na mipango hewa awajamaa