Spika Ndugai na Mwambe wapewa wito wa Mahakama, kesi kuanza Juni 3

Spika Ndugai na Mwambe wapewa wito wa Mahakama, kesi kuanza Juni 3

Mwisho wa Ndugai ni aibu kubwa. Kitendo cha wakazi wa Kongwa kumkataa mbele ya Rais ndio mwanzo wa mwisho mbaya
Ingekuwa aibu angeanza kuona mbowe walivyomkataa hai au umesahau
 
Ukiwaangalia vizur utagundua kua kilichopo pale kikubwa ni biashara,wako Kwa ajir ya ruzuku na si kushika Dola,
ukweli ni huo.ila sasa wanalikoroga kupingapinga kila jambo inasababisha umma wa watanzania kuwapuuza.
 
Ingekuwa aibu angeanza kuona mbowe walivyomkataa hai au umesahau
Mwenye akili anajua tukio la kweli na engineered. Unadhani kuna watu waliandaliwa kumkataa Ndugai mbele ya Rais? Kama wapo basi wameandaliwa na muuliza swali mwenyewe!
Tumia ubongo!
 
Mwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg
Mbona Mbowe alivyokataliwa mbele ya akadamnasi mlisema wametumwa na CCM, hivi nyie Hamuishiwi porojo. Yaani vinachanganyikana humohumo.
 
Mbona Mbowe alivyokataliwa mbele ya akadamnasi mlisema wametumwa na CCM, hivi nyie Hamuishiwi porojo. Yaani vinachanganyikana humohumo.
Hilo nalo unataka mpaka profesa wa siasa aje akueleweshe?
 
Hivi anashatikiwa Job Ndugai yeye Kama yeye au Kiti cha Spika?

Ila Serikali haitakiwi kufanya makosa kumrudisha Ndugai kama spika term ya 2020-2025 , manake tutajikuta tuna kesi nyingi za kikatiba kutokana na makosa yake.
 
Ameshitakiwa yy kama yy kwa kuifinyanga katiba ya nchi...ndugai anafikiri anaikomoa chadema ...mwishowe chadema wanamshangaa kwn kwa sasa anaugomvi na katiba ya nchi na si chadema tena...Mzee kusukari inampeleka kubaya
 
Akifanya mchezo atajikuta Kisukari kimepanda Tena, manake mambo ya mahakamani yanaweza mpa stress
 
Akifanya mchezo atajikuta Kisukari kimepanda Tena, manake mambo ya mahakamani yanaweza mpa stress
Alifikiri anagombana na chadema lkn akajikuta anagombana na katiba ya nchi...ndo ubaya wa kufanya maamuzi kwa maelekezo kutoka muhimili mwingine...maamuzi ya kumfurahisha jiwe na malaika wa chatto[emoji23]
 
Huyo Ndugaye naona sasa anatafuta kwa nguvu kumuachia joho Betina

Betina anaandaliwa kuvaa hilo joho,hivyo afanye afanyalo hawezi kukalia tena hicho kiti,ni mkakati kutoka kileleni
 
Na yeye kaanza kuangaika na kwenda mahakamani ndio malipo ya kumtumikia shetani. Anakutumia then anakubwaga. na bado tutaona mengi hata usipika haupo atafute kazi ya kufanya 2020~2025.
Natabiri Spika ajaye atateuliwa kama CAG,hakuna mchezo ni mbele kwa mbele.Nyakati hizo zikitimia kila mwana aeleke jiwe,nitakuwa ni kilio na kusaga meno na Ole wao watakaokuwa wanaishi.
 
Katiba ya nchi ndio sheria kuu,mtu anaevunja katiba,amevunja sheria na adhabu yake Ni jela
 
Chadema wajiandae kuragazwa tena
Kwa kuwa CCM hawategemei kura za Wananchi?
Samahani kwa kukujibu,nilishajiwekea nadhi kutokujibu unayoyaandika hapa JF kwa sababu zangu.Lakini leo,uzalendo umenishinda.Hapa kinachoongelewa ni kesi ya uvunjifu wa sheria waziwazi we we unaleta mambo ya CDM kujiandaa kugaragazwa?
 
Back
Top Bottom