Ingekuwa aibu angeanza kuona mbowe walivyomkataa hai au umesahauMwisho wa Ndugai ni aibu kubwa. Kitendo cha wakazi wa Kongwa kumkataa mbele ya Rais ndio mwanzo wa mwisho mbaya
ukweli ni huo.ila sasa wanalikoroga kupingapinga kila jambo inasababisha umma wa watanzania kuwapuuza.Ukiwaangalia vizur utagundua kua kilichopo pale kikubwa ni biashara,wako Kwa ajir ya ruzuku na si kushika Dola,
Mwenye akili anajua tukio la kweli na engineered. Unadhani kuna watu waliandaliwa kumkataa Ndugai mbele ya Rais? Kama wapo basi wameandaliwa na muuliza swali mwenyewe!Ingekuwa aibu angeanza kuona mbowe walivyomkataa hai au umesahau
Eti eeeh!Nyie mdo mutaaibika kwa kushabikia bila kujua vifungu vua kisheria.
Mbona Mbowe alivyokataliwa mbele ya akadamnasi mlisema wametumwa na CCM, hivi nyie Hamuishiwi porojo. Yaani vinachanganyikana humohumo.Mwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg
Hilo nalo unataka mpaka profesa wa siasa aje akueleweshe?Mbona Mbowe alivyokataliwa mbele ya akadamnasi mlisema wametumwa na CCM, hivi nyie Hamuishiwi porojo. Yaani vinachanganyikana humohumo.
Ndo walio mfungulia case?Chadema wajiandae kuragazwa tena
Naona weweeee, hao jamaa walichokufanya, hutakuja kuwasamehe!Chadema wajiandae kuragazwa tena
Ameshitakiwa yy kama yy kwa kuifinyanga katiba ya nchi...ndugai anafikiri anaikomoa chadema ...mwishowe chadema wanamshangaa kwn kwa sasa anaugomvi na katiba ya nchi na si chadema tena...Mzee kusukari inampeleka kubayaHivi anashatikiwa Job Ndugai yeye Kama yeye au Kiti cha Spika?
Ila Serikali haitakiwi kufanya makosa kumrudisha Ndugai kama spika term ya 2020-2025 , manake tutajikuta tuna kesi nyingi za kikatiba kutokana na makosa yake.
Wewe ni Bia Yetu acha kutuletea ujinga wako Poyoyo mkubwaMwambe anawatesa sana ufipa! Kichwa cha nyoka hakibebi mzigo, by Mustafa Muro.. DJ ana akili ndg
Usikufuru. Ni Kristo pekee ndiye ni yule yule jana, leo na kesho.Hamueleweki mara hamziamini mahakama mara mnaziamini.yani mnayumba sana.
Kuweni na misimamo ndo msingi wa mafanikio.
Mwembe bado yupo sana jana,leo na kesho.
Akifanya mchezo atajikuta Kisukari kimepanda Tena, manake mambo ya mahakamani yanaweza mpa stressAmeshitakiwa yy kama yy kwa kuifinyanga katiba ya nchi...ndugai anafikiri anaikomoa chadema ...mwishowe chadema wanamshangaa kwn kwa sasa anaugomvi na katiba ya nchi na si chadema tena...Mzee kusukari inampeleka kubaya
Alifikiri anagombana na chadema lkn akajikuta anagombana na katiba ya nchi...ndo ubaya wa kufanya maamuzi kwa maelekezo kutoka muhimili mwingine...maamuzi ya kumfurahisha jiwe na malaika wa chatto[emoji23]Akifanya mchezo atajikuta Kisukari kimepanda Tena, manake mambo ya mahakamani yanaweza mpa stress
Huyo Ndugaye naona sasa anatafuta kwa nguvu kumuachia joho Betina
Natabiri Spika ajaye atateuliwa kama CAG,hakuna mchezo ni mbele kwa mbele.Nyakati hizo zikitimia kila mwana aeleke jiwe,nitakuwa ni kilio na kusaga meno na Ole wao watakaokuwa wanaishi.Na yeye kaanza kuangaika na kwenda mahakamani ndio malipo ya kumtumikia shetani. Anakutumia then anakubwaga. na bado tutaona mengi hata usipika haupo atafute kazi ya kufanya 2020~2025.
Kwa kuwa CCM hawategemei kura za Wananchi?Chadema wajiandae kuragazwa tena