Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Hiyo pombe ya madaraka ipoje??-- ni kama pombe ya pingu au gongo??🤣
 
Huwezi kumuelewa yule mwehu wa milembe


You have travelled extra miles--- You may be called before the parliamentary committee for justice and ethics to be interrogated---- take care!!.
 
Kwa hiyo Bwana Ndugai anatuona sote ni wabunge wa kuweza kutupangia nini cha kuzungumza dhidi bunge linaloketi Dodoma kwa kodi zetu? Mamlaka yake yanaishia kwa Wabunge tu. Kama bunge ni dhaifu litabaki kuwa hivyo; na katu ukali wake kwa wakosoaji wake hakulifanyi kuwa na nguvu.
 
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia,
Heshima ya bunge inajengwa na matendo ya wabunge, kama matendo yao ni hovyo wataachaje kuambiwa ukweli!? Ati mtu umpige mwenzako na mpini wa jembe halafu tuseme ulimfunika na blanketi ina sound kweli!?
 
Muhimili wa Bunge unapaswa uheshimiwe, na ambaye anajaribu kuuvunjia heshima atachukuliwa hatua za kisheria.

kama anabisha arudie tena kutumia lugha za kashfa na kebehi kwa viongozi na mhimili alafu ataona tabu atakayo ipata.
Huo muhimili unajiheshimu na kujitambua? hoja ya Tozo walivyoishangaa kuwa nani kapitisha? na ile ya kuwapokea wasiokuwa wananachama wa chama chochote ilitosha kulidharau na ndiyo maana hakuna anayehangaika nalo.Likapewa jina la MAZUZU.Hivi maana yake ni nini.
 
Mlio karibu na Spika mwambieni ahangaike na Slow Slow kwanza.
Atathubutu?Atamweza? Je ana hoja? Ya Gwaji yaliishaje. Atafute namna ya kuvuna maarifa kutoka kwa ulimwengu kama bado...............kuna mahali pa kuweka na kama hakuna its better to find another alternative.
 
Huyo jenerali huwa akifilisika tu anatukana hovyo,alimfanyia marehemu mkapa hivyo na mkapa akamnyang'anya uraia wake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…