Watanzania wote wameshalipuuza hili bunge..
Huyu zuzu aelewe tu.
yule ni takataka tupuKuna faida gani kuwa na raia asiyekuwa na kitu kichwani kama Ndugai, si akheri huyo asiyekuwa raia lakini mchango wake kwa jamii unaonekana?
Ndugai ni mzigo mzito sana kwa taifa hili.. Hata sielewi ni sifa zipi zilizofanya bunge limpe uspika!
Wabunge wenyewe akina Babu Tale!!!!!Kwa hiyo Bwana Ndugai anatuona sote ni wabunge wa kuweza kutupangia nini cha kuzungumza dhidi bunge linaloketi Dodoma kwa kodi zetu? Mamlaka yake yanaishia kwa Wabunge tu. Kama bunge ni dhaifu litabaki kuwa hivyo; na katu ukali wake kwa wakosoaji wake hakulifanyi kuwa na nguvu.
Ulimwengu ni Mzalendo. Huyo hapo kulia kwenye harakati za ukombozi wa Africa akiwa na Hayati Samora Machel.Mkuu watu kama hawa ni wa kusamehewa tu. Kawaza tu lake kichwani kua Jenerali c mtanzania, akaliandika. Hajui historia ya jamaa na pengine hajui hata Jenerali Ulimwengu ni nani
Kwa nchi za kidikiteita kama yetuHuwezi kumtenganisha Spika na bunge!
Hivi huyu mwamba alikufa?
halafu jitu linatokea huko porini DDM linapewa bunge, nchi hii Mungu aiangamize aumbe upya kama uumbaji upo kweliUlimwengu ni Mzalendo. Huyo hapo kulia kwenye harakati za ukombozi wa Africa akiwa na Hayati Samora Machel. View attachment 2007598
Ndugai hana uwezo wa kuliona hilo. GOOD umelisema atalisoma, nadhani kwa sasa the most effective informative channel ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki!Ndugai afanyie kazi udhaifu wake, asihangaike kuwatisha wanaomuonesha udhaifu wake, kusemwa yeye kila siku ajue ana tatizo.